edon66
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 2,907
- 9,135
Ctaki tenaa aiseeTungi piga lakini usiharibu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ctaki tenaa aiseeTungi piga lakini usiharibu mkuu
Mkuu pole kwa kumpoteza mzazi. Pengo lake hua halizikibi. Jikaze kama kidume.Baada ya kumpoteza mama mzazi ndo nimeamini hakuna mtu naweza kumwambia yanayonisibu na kuwa muwazi kwake chini ya jua hilii zaidi yake..! pengine hata mafanikio yangu hakuna mtu naweza share nae kwa uwazi na uhuru tena.
Sikushauri uache tungi. Labda uamue mwenyenyeCtaki tenaa aisee
Ss mkuu kabla ya ushauri wako mbona nilishaachaga aise kitamboo.Sikushauri uache tungi. Labda uamue mwenyenye
So true!! InakuelewaaBaada ya kumpoteza mama mzazi ndo nimeamini hakuna mtu naweza kumwambia yanayonisibu na kuwa muwazi kwake chini ya jua hilii zaidi yake..! pengine hata mafanikio yangu hakuna mtu naweza share nae kwa uwazi na uhuru tena.
Miezi sita bila kufanya mapenzi? Dah! Hivi Wengine mnawezaje jamani? Yani me hata wiki kuisha ni ngumuKukaa miezi sita bila nyeto au kugegeda kunawezekana ila uwe umefulia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pepo la ngonoMiezi sita bila kufanya mapenzi? Dah! Hivi Wengine mnawezaje jamani? Yani me hata wiki kuisha ni ngumu
Hapana! Ni mwili tu ndo unakuwa unahitaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pepo la ngono
Jifunze kujizuia kufanya naniliu.Hapana! Ni mwili tu ndo unakuwa unahitaji
Kabisa yalinipata ndugu lawama
Ukiwa umefulia mzeya mbususu utaisomaga tuu jf.Miezi sita bila kufanya mapenzi? Dah! Hivi Wengine mnawezaje jamani? Yani me hata wiki kuisha ni ngumu