Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

Baada ya kumpoteza mama mzazi ndo nimeamini hakuna mtu naweza kumwambia yanayonisibu na kuwa muwazi kwake chini ya jua hilii zaidi yake..! pengine hata mafanikio yangu hakuna mtu naweza share nae kwa uwazi na uhuru tena.
Mkuu pole kwa kumpoteza mzazi. Pengo lake hua halizikibi. Jikaze kama kidume.
 
biashara ni msingi mkubwa wa maendeleo mwaka huu nili fukuzwa kazi mwanzoni kabisa mwa mwaka.

nikaamua kujiajili kwenye sekta ya usafirishaji kupitia boda boda niliyo ipata kutokana na pesa za pension. sio siri biashara haswa kujiajili ni bora zaidi kuliko ajira.

kwenue kazi yangu hii mpya naweza kutengeneza mara 3 ya mshahala niliokuwa naungojea kwa mwezi.

najipanga niachane na kazi ya boda boda nijitahidi niweze kufungua biashara walau ya Genge...huku nikijipanga zaidi kuwekeza kwenye kilimo.​
 
Baada ya kumpoteza mama mzazi ndo nimeamini hakuna mtu naweza kumwambia yanayonisibu na kuwa muwazi kwake chini ya jua hilii zaidi yake..! pengine hata mafanikio yangu hakuna mtu naweza share nae kwa uwazi na uhuru tena.
So true!! Inakuelewaa
Mwanzoi utajipa moyo uone utazeaa lakini siku zinavyozidi kwenda una realise how empty maisha yamekuwa bila mama .
 
Nilichojifunza mwaka huu
1. Haijalishi wewe ni smart kiasi gani uwezi mpandisha mtu asie taka kupanda

2. Ukiwa unafanya biashara usimuonee mtu huruma tanguliza maslahi yako kwanza

3. Dunia ina watu wabinafsi kila mtu anaangalia maslahi yake na wanajua kabisa unaumia lakin hakuna anaejari hivyo jukumu la maisha yako ni la kwako mwenyewe

4.Toa huduma bora kwenye biashara ila jua kwamba haijalishi huduma yako ni bora kiasi gan kuna wateja wana tabia ya kuhama hama hivyo wakiondoka usijisikie vibaya

5.kuna watu wataendelea kuwa maskini tu haijalishi wamezungukwa na fursa kiasi gani
 
Miezi sita bila kufanya mapenzi? Dah! Hivi Wengine mnawezaje jamani? Yani me hata wiki kuisha ni ngumu
Ukiwa umefulia mzeya mbususu utaisomaga tuu jf.
Ila ukiwa na mihela ah mwanawane lazima upate hiyo kitu sio chini ya mara nne kwa siku
 
Back
Top Bottom