ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Chukua hii nakupa; japo hatupangiani maisha kila mtu anajua jinsi anavyoyaendesha ila kiukweli life ni gumu ndugu zangu na mwaka huu huku mashambani hali sio hali hasa Kwa upande wa zao la mahindi.
Mikoa ambayo sio wazalishaji wakubwa wa chakula tumepata pata ila sio ya kuuza ni kwa ajili ya kula tu mahindi yalinyauka pia mvua Ilikuwa nyingi ikaathiri kiasi fulani.
Mpunga kidogo mwaka huu maeneo mengi wametoboa. All in all maisha tu ni magumu pesa ngumu kupatikana na bado haikaliki inapepea yaani laki ukienda sokoni kununua vitu hivyo vitu ukiviona ni vichache kama utani laki inakata ila kuipata laki yenyewe ni mtiti.
So kama unaishi ki bachelor au una familia aisee ni heri ukajiandaa mapema ukipata pesa weka stock kabisa ya vyakula hata kama gunia bora uweke mapema, mkaa weka, gas jaza,Maharage weka, mpunga weka, mafuta ya kutosha weka n. k.. UOGA PIA NI AKILI SOMETIMES
Ukiwa huna hela wala chakula ndani unaweza kudata ukajikuta unageuka omba omba majumbani mwa watu.
Hakuna kitu kibaya kama njaa inatisha aisee kweli wahenga walisema ADUI YAKO MUOMBEE NJAA.