Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Bora uote sugu ukiwa unatengeneza hela.kuota sugu mikononi pia sina hela za wafanyakaz ππππππΎππΎ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora uote sugu ukiwa unatengeneza hela.kuota sugu mikononi pia sina hela za wafanyakaz ππππππΎππΎ
Jibu swali utafanyia nini ?weeeee kwahiyo unataka kusemaje ππ
naogeaJibu swali utafanyia nini ?
Mkuu itafika 2000/- zingatia maneno yanguSembe sasa kilo ni alfu moja, natamani twende hivi hivi
Tanzania ina maji baridi tele ya kuchimba kumwagilia mazao na kutumia matumizi mengine, hatupaswi kutishwa na kiangazi.Wakati sehemu nyingi waifurahia mvua iliyonyesha kwa mujibu wa mbuge Tabasamu wengine wamepata madhira makubwa sana ya mafuliko na mali na maisha kupotea, yote tunaambiwa kumshukuru Mungu. tusiishie hapo niwaase watanzania wote; kitafuata kipindi kikubwa cha ukame hivyo tujitahidi kila inavyowezekana tuweke chakula cha kutosha katika maghara kila familia na chakula cha ziada zifanyike jitihada za maksudi kwa vyombo vyetu vya hifadhi maghara ya kitaifa tukusanye chakula cha kutosha tuweke akiba kuna mchele wa kutosha sasa mwakani unaweza usiwepo. mahidi yapo ya kutosha mwakani yawezekana yasiwepo. tuondoke katika hifadhi ya zone tuweke hifadhi ya kila mkoa. wenine mnanitolea macho mkijisemea kwani wewe ni TMA, yako macho ya rohoni yanaona mkidharau shauri yenu mtanikumbuka baadae.
Sawa lakini hii ni mipango ya kudumu yenye gharama kubwa.Tanzania ina maji baridi tele ya kuchimba kumwagilia mazao na kutumia matumizi mengine, hatupaswi kutishwa na kiangazi.
Masikini hawawezi kutunza chakula kwa sababu maisha yao ni ya mkono kwa kinywa kila siku, kwa matajiri hakuna umuhimu wa kutunza chakula. Huu utakuwa ni mwanya tu wa serikali kusumbua wafanyabiashara.Sawa lakini hii ni mipango ya kudumu yenye gharama kubwa.
Vipi kuhusu mpango wa muda mfupi wa gharama nafuu ambao ni kutunza chakula?
Mpaka mkubaliane nae vinginevyo hapana.
Itakua kalamba uteuzi kwenye wale watu wanaotekeleza dira ya taifaMpaka mkubaliane nae vinginevyo hapana.
Tunzeni fedha
Umeshakula kwanza?wenine mnanitolea macho 'mkijisemea kwani wewe ni TMA,' yako macho ya rohoni yanaona mkidharau shauri yenu mtanikumbuka baadae.