ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Mkuu tatizo la pesa wengi wetu ku save tumeshindwa labda uizungushe tofauti na hapo lazima tu itakwishaTafuta Hela mkuu ,unga si AKIBA pesa ndio akiba ya Kila kitu,,mfano mtt akiumwa hapo uwezi mpelekea docta unga na Mchele ampe mtt huduma ,Bali atataka pesa..narudiaa tafutaa pesaaaa sanaaaaa..
Hakuna njaa wewe, nyanda za juu kusini huku mazao kama yote
Ndo maana nimekwambia mikoa isiyolima sanaHakuna njaa wewe, nyanda za juu kusini huku mazao kama yote
Nimeipenda hiiTafuta Hela mkuu ,unga si AKIBA pesa ndio akiba ya Kila kitu,,mfano mtt akiumwa hapo uwezi mpelekea docta unga na Mchele ampe mtt huduma ,Bali atataka pesa..narudiaa tafutaa pesaaaa sanaaaaa..
Kaskazini napo yatavunwa mengi sana, hakuna njaa labda kwa wavivu ambao hawakulima.Hakuna njaa wewe, nyanda za juu kusini huku mazao kama yote
😂Nnapokaa huku ukiweka hio akiba ya mahindo
Panya kwako ndo watapaoni kitambaa cheupe🤣🤣
Uongodaaaah rudi tz aseee npo napukucha mahindi apa,,npo gunia la kumi sasa.
ambao hawakulima?,,sasa tukilima wote nani atanunua🙄, tunaishi kwa kutegemeana.Kaskazini napo yatavunwa mengi sana, hakuna njaa labda kwa wavivu ambao hawakulima.
😳Tena jamani,,aya karibu njombeUongo
Nasikia kuna baridi😳Tena jamani,,aya karibu njombe
Nazungumzia wale wakulima, alafu lima wewe mbona hela tunatafuta wote.ambao hawakulima?,,sasa tukilima wote nani atanunua🙄, tunaishi kwa kutegemeana.