Mwaka huu kutakuwa na njaa, heri ukose hela ila uwe na chakula ndani

Gunia la mahindi 30,000 hiyo njaa Inatoka wapi?
 
W Ww kaa na mahindi Yako yakuozee huku kwetu gunia limefika elfu 40 na inaendelea kushuka
 
Tafuta Hela mkuu ,unga si AKIBA pesa ndio akiba ya Kila kitu,,mfano mtt akiumwa hapo uwezi mpelekea docta unga na Mchele ampe mtt huduma ,Bali atataka pesa..narudiaa tafutaa pesaaaa sanaaaaa..
Kuna nyakati utaweza kuwa na hela lakini mahindi na mchele vya kununua hamna, au upo wa plastiki kutoka huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…