Mwaka mmoja bila Humphrey Polepole: Sauti yake ilikuwa ya kinabii

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,105
Reaction score
20,307
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana maisha ya watu waliokemewa na Humphrey Polepole kujua yanaendeleaje kwa kweli licha ya watu hao kuwa na hela nyingi sana lakini nimegundua maisha yao ni magumu sana kisaikolojia kwani wanaishi kwa hofu sana na wengi wao mambo yanawaendea vibaya.

1. Wicknell Chivayo. Huyu alitahadhalishwa kwa namna alivyomzoea Rais Samia kwa kukaa nae mikao ya hovyo ili kutia aibu taifa letu lakini hakukoma aliendelea tu. Aliua kwa upanga October 29 lakini na yeye ameondoka kwa upanga.

2. Anjela Kizigha. Mama huyu ana ukaribu wa kutisha na Rais Samia licha ya tuhuma za ufisadi alizonazo ameteuliwa mbunge na kufanywa mshauri wa Rais!

Kwa tunaofuatilia kwa ukaribu sana mambo haya tunajua kuwa maisha ya Anjela Kizigha yamejaa hofu na kuna kila dalili mwisho wake utakuwa wa upanga.

3. Emmanuel Nchimbi. Wote tunajua the rise and fall of Dk Nchimbi.

4. Jakaya Kikwete. Ni Rais msitaafu pekee wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyehai na watu walipaswa kwenda kuchota busara kwake, lakini hali siyo hivyo kwani anaishi kwa ulinzi mkali sana na hamwamini mtu yoyote labda Rais Samia tu.

5. Rais Samia. Huyu aliambiwa wazi kwamba ukilazimisha kuwa Rais kwa utaratibu unaoenda nao kwanza hautawaheshimu watanzania na pili wewe mwenyewe hautaheshimika kimataifa. Rais Samia hakusikiliza na matokeo yake akaweka rekodi ya mauaji ya uchaguzi na hawezi kufanya ziara yoyote Ulaya na America na kuna kila dalili mwisho wake ukawa wa upanga.

6. January Makamba na Nape Nauye. Hawa waliingia kwenye mgogoro mkali na Humphrey Polepole kutokana na hujuma zilizokuwa zinaendelea kwenye ujenzi wa bwawa la mwl nyerere na hujuma kwenye kipindi cha shule ya uongozi maana baada ya kuingia Rais Samia walianza kujiona wao ndio wamiliki wa Tanzania, matokeo yake wote wawili walifukuzwa kwenye nafasi za uwaziri kwa aibu kubwa sana.
 
Bring Back HP!
P
 
Polepole anastahili alichokipata, muache aungane na Magufuli maana siasa chafu za kukandamiza upinzani, kuua, kuteka na kuiba uchaguzi wote zilianzishwa na wao. Bwege sana yule, unaacha ubalozi halafu unajificha Ununio na kuanza kuichamba Serikali??. Wasingempata ningewadharau sana watu wa MFUMO

No Polepole No problem, maisha yanaendelea
 
Yeah,
ni nabii wa uongo asitabirika, aliejawa chuki na mpenda kujipiga kifua na kujipa umalaika nonsense mbele ya wengine, hali ya kua ni kapuku tu kisiasa, kijamii na hata kiuchumi.

mbaya zaidi,
haikujulikana alikua anafanya siasa, harakati, ngonjera au maigizo 🐒
 
Akiwa mwenezi wa CCM ukimpinga kila kitu alichosema,akiwa mbunge ulimdhihaki,akiwa balozi limousine leo umamuita nabii

USSR
 
Na Lisu yuko jela na mzee Mbowe ni ccm
 
Akiwa mwenezi wa CCM ukimpinga kila kitu alichosema,akiwa mbunge ulimdhihaki,akiwa balozi limousine leo umamuita nabii

USSR
Maneno yake yametimia
 
Yeah,
ni nabii wa uongo asitabirika, aliejawa chuki na mpenda kujipiga kifua na kujipa umalaika nonsense mbele ya wengine, hali ya kua ni kapuku tu kisiasa, kijamii na hata kiuchumi.

mbaya zaidi,
haikujulikana alikua anafanya siasa, harakati, ngonjera au maigizo 🐒
Kama ni nabii wa uongo mwambie Samia afanye ziara Marekani
 
1791277498441.png
 
Kama ni nabii wa uongo mwambie Samia afanye ziara Marekani
yaani afanye ziara huko kwasababu ya ramli, chuki au mihemko yako, right?

Na,
ili utokee muujiza gani na wakati
tayari alishafanya ziara huko mara kadhaa na waTanzania wote wanaenjoy matunda ya ziara ile?🐒
 
Wakati watu wanapotezwa na kutupwa kwenye viroba awamu Ile Huyo Pole pole alikuwa kwenye system.
Wakati mzee kibao anakatwa mapanga mbowe yupo kwenye system
 
yaani afanye ziara huko kwasababu ya ramli, chuki au mihemko yako, right?

Na,
ili utokee muujiza gani na wakati
tayari alishafanya ziara huko mara kadhaa na waTanzania wote wanaenjoy matunda ya ziara ile?🐒
Afanye tena
 
Polepole anastahili alichokipata, muache aungane na Magufuli maana siasa chafu za kukandamiza upinzani, kuua, kuteka na kuiba uchaguzi wote zilianzishwa na wao. Bwege sana yule, unaacha ubalozi halafu unajificha Ununio na kuanza kuichamba Serikali??. Wasingempata ningewadharau sana watu wa MFUMO

No Polepole No problem, maisha yanaendelea

Wewe ni mpumbavu mauaji na utekaji yameanza toka zama za Nyerere kenge wewe
 
Back
Top Bottom