Mwaka mmoja bila Humphrey Polepole: Sauti yake ilikuwa ya kinabii

Polepole anaumiza sana
Sasa unamiaje kwa sababu ya yule ndezi? Yaani uache kazi ya ubalozi kisha ukajifiche Ununio na kuanza kuichamba Serikali? Asingedakwa ningedharau vyombo vya dola
 
ukweli mtupu HAYUKO HAI TENA.
kwenye kukamatwa kaleta upinzani na migomo kapondwa sana na kupelekea kuvuja damu maeneo mbalimbali na ubongoni ilipopelekea kifo chake.

anyway na CCM yake mpya ni hakika.

watu wanasema alikuwa na majivuno na hapokei simu wala kujibu sms na namba kawapa mwenyewe.

kila sarafu ina upande miwili ila HPOLEPOLE karudi kwenye chanzo kama kila ben saanane BYEBYE
from Mwananchi mmoja raia wa wa Tanzania
 
Ni kweli kabisa dada yangu Huihui unachosema.
 
Back
Top Bottom