Mwaka mmoja bila Humphrey Polepole: Sauti yake ilikuwa ya kinabii

 
Sema binadamu mna unafiki sana,mliku hamumpendi polepole kipindi cha magu,ila sahiv mnajifanya mnampenda sana sababu ya uhuni aliofanyiwa

Hamjui misimamo yenu,mpo tu kama bendera.
 
Hivi ni Mimi tu ambae sijamuona Mkuu wa za ndani hivi karibuni au..!Asije akawa kafanyiwa u HP
 
Weee Binti kuwa na roho ya huruma hata kama unalipwa
 
Ameliwa na mamba aliyemfuga mwenyewe, angepaza hiyo sauti enzi zile za mwendazake leo utekaji usingekuwepo. Wakati uchaguzi wa 2020 unavurugwa kujenga hili bunge la kijani alikuwa wapi? Si alikuwa anashangilia wapinzani kunyang'anywa majimbo yote!!
Tukumbushane tu shetani ana kawaida ya kuwawahi watu wake kabla hawajatubu.
 
yaani afanye ziara huko kwasababu ya ramli, chuki au mihemko yako, right?

Na,
ili utokee muujiza gani na wakati
tayari alishafanya ziara huko mara kadhaa na waTanzania wote wanaenjoy matunda ya ziara ile?🐒
Kama matunda gani mkuu. Naomba unielimishe matunda ya ziara ya Mh. Raisi Kwa mtanzania anaeuza mtumba pale karume au hata anaefanywa kazi katika ofisi za umma.
 
Mjane wa Marehemu Shetani la Chato. Wewe una maisha magumu zaidi kuliko hata uliowataja. Na kibaya zaidi Uliachwa mjane bila urithi wala kutambulishwa. We fata ushauri wa Zitto Kabwe, mfate Chato ukazikwe nae tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…