Alikuwa na u- smart gani? Mimi nilimuona alikuwa bwege tu. Ujifiche Ununio, utumie internet, YouTube ambavyo TCRA wana trace kila kitu na usikamtwe??alitubu wakati ule akieleza hali ya Taifa kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025. kabla masheitwani hawajamteka. Nilikuwa namfuatilia kila nukta. The guy was so smart
Angepelekwa mahakamani ashitakiwe kama kafanya jinai.Alikuwa na u- smart gani? Mimi nilimuona alikuwa bwege tu. Ujifiche Ununio, utumie internet, YouTube ambavyo TCRA wana trace kila kitu na usikamtwe??
Aliyekuwa Meja wa Jeshi la Marekani, Nidal Hasan, anatarajiwa kutekelezewa adhabu ya kifo kwa kikosi cha risasi Desemba 3, 2026, katika Kambi ya Fort Hood, Texas.Angepelekwa mahakamani ashitakiwe kama kafanya jinai.
Fanyeni hayo kama kweli nyie mnatawala kwa katiba na Sheria kama mnavyojitapa.
Mbona yeye na Magufuli hawakuwapeleka Mahakamani akina Azory Gwanda na Ben Saanane?Angepelekwa mahakamani ashitakiwe kama kafanya jinai.
Fanyeni hayo kama kweli nyie mnatawala kwa katiba na Sheria kama mnavyojitapa.
Two wrongs don't make a right.Mbona yeye na Magufuli hawakuwapeleka Mahakamani akina Azory Gwanda na Ben Saanane?
Yeah
Methali yako haifuti ukweli kuwa walioanzisha huu ushenzi wa uuaji na ukandamizaji demokrasia ni Magufuli na PolepoleTwo wrongs don't make a right.
Nashangaa watu wanaomlilia Polepole watanzania Wana ubongo wa kuku kusahau dakika 0 tu Polepole wa enzi za Magufuri alikuwa mnyama na katili sana mpaka akawa anaogopwa, Yeye na Jiwe ndio waliotuifikisha nchi hapa tulipo, aliponyanganywa tongue na wahuni wenzake ndio akili zikamrudia kujifanya nabii pumbavu kabisa Tena asirudi .Polepole anastahili alichokipata, muache aungane na Magufuli maana siasa chafu za kukandamiza upinzani, kuua, kuteka na kuiba uchaguzi wote zilianzishwa na wao. Bwege sana yule, unaacha ubalozi halafu unajificha Ununio na kuanza kuichamba Serikali??. Wasingempata ningewadharau sana watu wa MFUMO
No Polepole No problem, maisha yanaendelea
Wewe ni mpumbavu mauaji na utekaji yameanza toka zama za Nyerere kenge wewe
watoto wa 2000 hao achana nao watakupotezea energy yako bureNyerere alimuua nani wewe bwege?
Kwa hiyo mnaendeleza huo 'ushenzi' wa Uuaji na Ukandamizaji demokrasia kwa sababu nyie sio waanzilishi ?..Methali yako haifuti ukweli kuwa walioanzisha huu ushenzi wa uuaji na ukandamizaji demokrasia ni Magufuli na Polepole
Hivi ukimuona yupo hai siku za mbeleni, utasemaje?Polepole anastahili alichokipata, muache aungane na Magufuli maana siasa chafu za kukandamiza upinzani, kuua, kuteka na kuiba uchaguzi wote zilianzishwa na wao. Bwege sana yule, unaacha ubalozi halafu unajificha Ununio na kuanza kuichamba Serikali??. Wasingempata ningewadharau sana watu wa MFUMO
No Polepole No problem, maisha yanaendelea
weeee, weee Wakitu.... unanijumuisha na mimi, sema Wakiku ... kama umezoea huo mchezo katafute mabwana wengine dada. Mimi nalinda Mgongo wangu.Unalipwa wewe kwa kuwakatikia mauno wakitufira
Aliamsha wengi waliokuwa wamelala.Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana maisha ya watu waliokemewa na Humphrey Polepole kujua yanaendeleaje kwa kweli licha ya watu hao kuwa na hela nyingi sana lakini nimegundua maisha yao ni magumu sana kisaikolojia kwani wanaishi kwa hofu sana na wengi wao mambo yanawaendea vibaya.
1. Wicknell Chivayo. Huyu alitahadhalishwa kwa namna alivyomzoea Rais Samia kwa kukaa nae mikao ya hovyo ili kutia aibu taifa letu lakini hakukoma aliendelea tu. Aliua kwa upanga October 29 lakini na yeye ameondoka kwa upanga.
2. Anjela Kizigha. Mama huyu ana ukaribu wa kutisha na Rais Samia licha ya tuhuma za ufisadi alizonazo ameteuliwa mbunge na kufanywa mshauri wa Rais!
Kwa tunaofuatilia kwa ukaribu sana mambo haya tunajua kuwa maisha ya Anjela Kizigha yamejaa hofu na kuna kila dalili mwisho wake utakuwa wa upanga.
3. Emmanuel Nchimbi. Wote tunajua the rise and fall of Dk Nchimbi.
4. Jakaya Kikwete. Ni Rais msitaafu pekee wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyehai na watu walipaswa kwenda kuchota busara kwake, lakini hali siyo hivyo kwani anaishi kwa ulinzi mkali sana na hamwamini mtu yoyote labda Rais Samia tu.
5. Rais Samia. Huyu aliambiwa wazi kwamba ukilazimisha kuwa Rais kwa utaratibu unaoenda nao kwanza hautawaheshimu watanzania na pili wewe mwenyewe hautaheshimika kimataifa. Rais Samia hakusikiliza na matokeo yake akaweka rekodi ya mauaji ya uchaguzi na hawezi kufanya ziara yoyote Ulaya na America na kuna kila dalili mwisho wake ukawa wa upanga.
6. January Makamba na Nape Nauye. Hawa waliingia kwenye mgogoro mkali na Humphrey Polepole kutokana na hujuma zilizokuwa zinaendelea kwenye ujenzi wa bwawa la mwl nyerere na hujuma kwenye kipindi cha shule ya uongozi maana baada ya kuingia Rais Samia walianza kujiona wao ndio wamiliki wa Tanzania, matokeo yake wote wawili walifukuzwa kwenye nafasi za uwaziri kwa aibu kubwa sana.
Itabidi auawe tenaHivi ukimuona yupo hai siku za mbeleni, utasemaje?
Wampeleke Mahakamani ashitakiwe ahukumiwe kama katenda jinai.Kilachomkuta Kinasikitisha. Ila yeye mwenyewe alikua ndio hao hao