Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Maguful...
Acha kutujumuisha mkuu, sema kipenzi chako wew na familia yako au sukuma gang wenzio. Wengine ni wapenzi wa Lissu ambaye unajua Jiwe alitaka kumfanya nini lakini Mungu akaingilia kati.Hakuna kama Magufuli, aendelee kupumzika kipenzi cha watanzania
Ahsante mkuuKaribu sana boss.
Pole sana mkuu,Hilo jizi halistahili kuombewa, ni la kuchomwa moto wa milele! Alituletea wahuni akina Bashite, Sabaya na akawalinda kwa nguvu zote! akawafanyia unyama wapinzani as if siyo watanzania, hafai, hafai, na hastahili kuombewa
Jamaa lilikuwa la hovyo sana, ndiyo maana likaweka rekodi ya hovyo ya Rais kufia madarakaniTuliumia sana. Wasitoneshe vidonda ambavyo vinaelekea kupona.
kuombea/ibaza za wafu ni chukizo kwa Mungu. baada ya kifo ni hukumu, hata uombe namna gani mtu aliyekufa kama hakutengeneza maisha yake kabla ya kufa huwezi kumtakasa. acheni kupoteza watu, acheni ibada za wafu. kanisa katoliki lina imani ya kupeleka watu motoni moja kwa moja.Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli...
Magufuli ni kipenzi cha Watanzania wengi. Apumzike kwa amani Rais wetu bora.Acha kutujumuisha mkuu, sema kipenzi chako wew na familia yako au sukuma gang wenzio. Wengine ni wapenzi wa Lissu ambaye unajua Jiwe alitaka kumfanya nini lakini Mungu akaingilia kati.
Huyo ni wa kuchoma moto, hiyo Ibada usiache kuwabeba akina Sabaya, Bashite uende naoPole sana mkuu,
Unatakiwa ku-move on.
Karibu Jumapili ya tarehe 20 Machi tumuombee Rais wetu bora kabisa wa wakati wote pale Kawekamo, Mwanza.