simchukii jpm, wala simhukumu. ila kuhusu kuombea, ni chukizo kwa Mungu, baada ya kifo ni hukumu hakuna kutengeneza maisha. hakuna mstari kwenye Biblia unasema tuombee wafu. hata ukisema RIP mtu kama hakuishi maisha matakatifu huwezi kumtakasa akiwa ameshakufa, yeye ndio anatakiwa kutubu kwa Mungu angali hai asamehewe, ni kitu kati ya Mungu na mtu, na sio watu waende kumuombea mtu kwa Mungu, the only advocate we still have is Jesus, naye anasimama kama daraja kati yetu sisi na Mungu kwamba tukitenda dhambi tupitie kwake ili Mungu atusamehe kwasababu yeye alimwaga damu kwa ajili ya hilo. ila sisi wanadamu tukiombea mfu tunapoteza muda na ni chukizo kwa Mungu.