Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

kuombea/ibaza za wafu ni chukizo kwa Mungu. baada ya kifo ni hukumu, hata uombe namna gani mtu aliyekufa kama hakutengeneza maisha yake kabla ya kufa huwezi kumtakasa. acheni kupoteza watu, acheni ibada za wafu. kanisa katoliki lina imani ya kupeleka watu motoni moja kwa moja.
Yesu (ambaye ni Mungu nafsi ya pili) alimuombea Lazaro.
 
kuombea/ibaza za wafu ni chukizo kwa Mungu. baada ya kifo ni hukumu, hata uombe namna gani mtu aliyekufa kama hakutengeneza maisha yake kabla ya kufa huwezi kumtakasa. acheni kupoteza watu, acheni ibada za wafu. kanisa katoliki lina imani ya kupeleka watu motoni moja kwa moja.
Hiyo ni imani yako, kama unafikiri unajua sana fungua uzi juu ya ibada ya wafu tujadili, ikiwezekana unda tume! Nina hakika hata ibada ya wafu maana yake hujui!
 
Sijawahi kumuelewa wala kumuona kama mnavyomuona nyinyi huyo jamaa anaitwa magufuri labda kwa sababu alikuwa boss wangu niliweza kuona mengi yaliyopo moyoni mwake na nyie mkaona ya kwenye kioo cha Tv zenu
 
Yesu hakumwombea Lazaro, alimfufua. hakuna sehemu hata moja kwenye Biblia Yesu anaombea mfu yeyote, wala mitume hawajawahi kufanya hivyo. ni kanisa katoliki tu ndio linafanya hivyo.
Lazaro alikuwa hai wakati anafufuliwa?

Lazaro hakuombewa, maombi/sala ni nini?
 
Apumnzike kwa amani ,RIP JPM
17.03.2021 Ikumbukwe daima.
Simchukii jpm, wala simhukumu. Ila kuhusu kuombea, ni chukizo kwa mungu, baada ya kifo ni hukumu hakuna kutengeneza maisha. Hakuna mstari kwenye biblia unasema tuombee wafu.

Hata ukisema rip mtu kama hakuishi maisha matakatifu huwezi kumtakasa akiwa ameshakufa, yeye ndio anatakiwa kutubu kwa mungu angali hai asamehewe, ni kitu kati ya mungu na mtu, na sio watu waende kumuombea mtu kwa mungu, the only advocate we still have is jesus, naye anasimama kama daraja kati yetu sisi na mungu kwamba tukitenda dhambi tupitie kwake ili mungu atusamehe kwasababu yeye alimwaga damu kwa ajili ya hilo. Ila sisi wanadamu tukiombea mfu tunapoteza muda na ni chukizo kwa mungu.
 
Hiyo ni imani yako, kama unafikiri unajua sana fungua uzi juu ya ibada ya wafu tujadili, ikiwezekana unda tume! Nina hakika hata ibada ya wafu maana yake hujui!
Amekaririshwa na wachungaji wake... Hawezi kuelewa.
 
Hiyo ni imani yako, kama unafikiri unajua sana fungua uzi juu ya ibada ya wafu tujadili, ikiwezekana unda tume! Nina hakika hata ibada ya wafu maana yake hujui!
ni kinyume na Bible mzee. ni hivyo tu.fanyeni mkiwa mnajua hilo.
 
Kwanini unawasemea watanzania? Jiwe alipokufa sehemu mbalimbali walifanya sherehe, je waliofanya sherehe siyo watanzania?
Watanzania mafisadi walishangilia. Watanzania wazalendo (na ambao tupo wengi - majority) tuliumizwa sana na kifo chake.
 
Back
Top Bottom