nao
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,832
- 1,940
Tena Chuma hasaJPM alikuwa chuma kwelikweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena Chuma hasaJPM alikuwa chuma kwelikweli.
Mungu akubariki na uendelee kuongeza zaidi uzitoNina furaha mnoo baada ya Israel kumbeba mwovu..nimegain kama 10 kgs since march 17 mwaka jana
Huu ni unafiki wa wasukuma, mbona hawawaombei waliouawa na Magufuli au kwa maelekezo yake?Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli.
Misa hii takatifu itafanyika Jumapili ya Machi 20 katika viwanja vya madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo kuanzia saa nne kamili asubuhi.
Aidha, Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande anatukumbusha kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuwa Wazalendo wa kweli, kudumisha amani, undugu na maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Hayati Magufuli apumzike kwa amani mbinguni.
View attachment 2147385
Hiyo siyo ya Kitaifa, ni ya Kanisa Kuu Mahalia la Mwanza.Mlizimia mwenge Chattle siku ya kumbuziki ya kifo cha Mwl .Nyerere kwanini misa kitaifa msifanyie chattle huko?
Mmemsaliti dikteta aliyepeleka hadi route ya ATCL chattle.
Ufisadi siyo mzuri mkuu.
Karibu Kawekamo tumuombee kipenzi cha Watanzania wengi.
Jamaa lilikuwa la hovyo sana, ndiyo maana likaweka rekodi ya hovyo ya Rais kufia madarakani
Uchumi wa nchi ulikua kwa kasi sana.
Sasa hivi tunakopa, tunaomba misaada na wameongeza kodi na tozo za kutosha...
Lakini hakuna mradi mkubwa unaoendelea vizuri, hakuna ajira, hakuna nidhamu maofisini, n.k.
Mpaka unajiuliza kama tuna uongozi.
Unaifunga wewe?Umekosa kazi ya kufanya. Unaombea wafu? Ni sawa na kuombea jiwe. Wafu hawasikii chochote na hesabu zao zimefungwa kwa matendo waliyotenda wakiwa hai (km vile risasi kwa Lissu, kifo cha Ben Saane, pesa za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni, nk.). Tengeneza maisha yako ya baadae ya kiroho ukiwa hai leo. Ukishakufa hesabu yako inafungwa.
Mnaombea maiti....Tunamuombea Rais kipenzi wa Watanzania.
Yesu aliteswa na kufa kwa ajili yakukomboa ulimwengu baada ya siku tatu akafufuka zile siku alienda kuwakomboa walioko toharani waliokufa na wanaopata mateso.lazima tumwombee mpendwa wetu aende kuume kwa Baba aminaaaaUmekosa kazi ya kufanya. Unaombea wafu? Ni sawa na kuombea jiwe. Wafu hawasikii chochote na hesabu zao zimefungwa kwa matendo waliyotenda wakiwa hai (km vile risasi kwa Lissu, kifo cha Ben Saane, pesa za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni, nk.). Tengeneza maisha yako ya baadae ya kiroho ukiwa hai leo. Ukishakufa hesabu yako inafungwa.
Yesu aliteswa na kufa kwa ajili yakukomboa ulimwengu baada ya siku tatu akafufuka zile siku alienda kuwakomboa walioko toharani waliokufa na wanaopata mateso.lazima tumwombee mpendwa wetu aende kuume kwa Baba aminaaaa
Tunaombea roho yake sio mwili. Mwili upo chato umetuzwa ila roho bado inaishi ndio tunaiombea ikapumzishwe mahala pema peponi aminaaa.mwili unaombewa siku yakupumzishwa kwenye nyuma ya milele sasa tunadeal na roho ambayo bado inaishi
(
Walikuwa wapinzani wa kisiasa? JPM alikuwa ni Stalin in the making, Bahati nzuri 'Covid' ikambeba hahahaWaliouwawa mtwara na Tanga alikuwa JPM? Acha chuki na JPM mzandiki wewe