Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Nilikua nasubiri comment ya haters.

Ni ajabu. Hii nchi yetu ni nzuri Sana. Sema inamatabaka yalioanza kujitokeza enzi za Mkapa, haters wote, ni wale waliofaidika na cake ya taifa hasa kwa wizi hasa ulioshamiri enzi za kikwete.

Kwa Sasa watafanya lolote ilimradi kuleta propaganda za kuonyeaha kua hayati alikua mbaya, sababu kuu ukiwa nikulinda maslahi binafsi yaliotokana na wizi kwa kutumia udhaifu wa mifumo ya kiserikali.

Uadui wao unatokana na magufuli kuziba mianya ya wizi enzi zake.

Ni bahati mbaya Tulienae hajielewi na ameamua kuacha Mambo yaende tu, Ila Kama kingepatikana Chuma kingine! Maisha kwao yangekua mazito Sana.

Watu wa system, tunawaombeni 2025 tuleteeni kiongozi wa nchi. Hii Hali ikiendelea usalama unaweza tetwreka siku za usoni. Watu wanaweza choka halafu tukavurugikiwa.
Magufuli alikuwa kiboko ya wezi na wabadhirifu, aliwanyoosha hasa. Hawana hamu naye.
 
Swali kabla hujaswaliwa... Maana yake utaswaliwa, au haujui hata ulichokiandika!? 😁
Maandiko yanasema baada ya kifo ni hukumu, sala za wanadamu ni za kujifariji na kuonesha huyu marehemu tunamtakia mema lakini hazina mashiko mbele ya Mungu. Ndio maana ya swali kabla hujaswaliwa kwasababu tuna uhakika na hilo la ww kusali mwenyewe lakini la sisi kukusalia ni itifaki tu
 
kuombea/ibaza za wafu ni chukizo kwa Mungu. baada ya kifo ni hukumu, hata uombe namna gani mtu aliyekufa kama hakutengeneza maisha yake kabla ya kufa huwezi kumtakasa. acheni kupoteza watu, acheni ibada za wafu. kanisa katoliki lina imani ya kupeleka watu motoni moja kwa moja.
Hakuna Moto, hakuna mbingu kama eneo kijiografia.
 
Maandiko yanasema baada ya kifo ni hukumu, sala za wanadamu ni za kujifariji na kuonesha huyu marehemu tunamtakia mema lakini hazina mashiko mbele ya Mungu. Ndio maana ya swali kabla hujaswaliwa kwasababu tuna uhakika na hilo la ww kusali mwenyewe lakini la sisi kukusalia ni itifaki tu
Hukumu ni nini?
 
Alifanya mengi ya kukumbukwa, mazuri na mabaya, lkn alikuwa Muongo pia
Kama kupambana na mafisadi, kuleta nidhamu katika ofisi za umma, kuleta mendeleo, n.k. ni uongo basi tunahitaji Rais muongo zaidi ya Magufuli.
 
Naona Marais wote wakristo wametangulia mbele za haki...kuoa wake wengi kunaongeza siku za kuishi 😂😂

Wewe ndio hauna critical mind kuelewa jambo jepesi sn, alifufua shirika ambalo lilikuwa limekufa kabisa na kurithi madeni chungu nzima, hiyo critical mind yako iko wapi? Au unasahau madeni ya kina mtaka wanaenda kukodi ndege shirika likaingia hasara ya mabillion ya pesa, watanzania kama wewe ndio hamna CRITICAL MIND.

Kwa ufupi ATCL ilikuwa imekufa kabisa, shirika haliwezi tengeneza faida wakati lime rithi madeni ya mabillion. Ndio maana ATCL haiwezi kwenda baadhi ya nchi ndege zake zitakamatwa. Magufuli ndio alitengeneza hayo madeni?

Unashindwa kuelewa a simple fact like that? Magufuli was not an Angel na binafsi kuna mambo kadhaa nilikuwa nampinga lakini ni Rais unaweza muweka level za Nyerere, he was A TRUE leader, ni Nyerere na magufuli walio liliwa na wananchi kiasi kile, you have to ask yourself why!!
Wewe naona ni bare headed person, hujaelewa kabisa ,nimezungumzia gawio lililonesha mashirika yalipata faida mpaka kutoa GAWIO kwa serikali, kitu ambacho kulikuwa ni igizo COMEDY ya MKOJANI.

Nimeamua Kukujibu ujinga ulioandika kwani unapoyosha fact niliyoweka hapo.

Naona ,you have very serious problem on perceiving REALITY, you have also lak of PARTICULARLITY AND OBJECTIVITY.

Nenda Chato UMKAMFUFUE....😂😁😂🤣🤣🤣
 
Huna ulijualo.

ATCL imekuwa ikitengeneza faida. Ni vile ilirithi madeni makubwa na yenye riba zisizo rafiki yaliyosababishwa na serikali za hao ndugu zako unaowahusudu.

Kwahiyo faida ilikuwa na inaendelea kugharamia hayo madeni. Ukija kutafuta net profit ndio inaonekana ni hasara.

Lakini ATC ipo on fire. Na inakuja kwa kasi sana katika kutawala anga la Afrika Mashariki.
Niambie KUBWA Jinga, lets Facts, inaoneka hukuona riport ya CAG.

Hongera kwa kuchagua UJINGA....🤣🤣🤣🤣
 
Umeokoka halafu kesho unazini, keshokutwa unaiba!
kwa hiyo unataka kumaanisha nini? kuokoka au uwepo wa neema sio tiketi ya kufanya dhambi. tunatakiwa kutubu tukimaanisha kuacha kabisa na kuikimbia dhambi. dhambi zinatutenganisha na uso wa Mungu. lakini, kama watoto wa Mungu (wote waliompokea.....) tukifanya dhambi kwa bahati mbaya tunayo nafasi kutubu kwasababu tunaye mwombezi kwa baba, Yesu Kristo. shida ni wale ambao hawajajikabidhi kwa Yesu, wanaabudu dini, wakifanya dhambi hawana mwombezi. ndio maana tunasema, okokeni muwepo kwenye mikono salama ya Mungu, ninyi hamtaki, sasa mnakosa mwombezi hadi mnaomba kwa maria.

Yoh 2:1-6 SUV​

Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki, naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote. Na katika hili twajua ya kuwa tumemjua yeye, ikiwa tunashika amri zake. Yeye asemaye, Nimemjua, wala hazishiki amri zake, ni mwongo, wala kweli haimo ndani yake. Lakini yeye alishikaye neno lake, katika huyo upendo wa Mungu umekamilika kweli kweli. Katika hili twajua ya kuwa tumo ndani yake. Yeye asemaye ya kuwa anakaa ndani yake, imempasa kuenenda mwenyewe vile vile kama yeye alivyoenenda.
 
Hata huko itafanyika.

Hii misa itafanyika sehemu nyingi Tanzania.
Mlizimia mwenge Chattle siku ya kumbuziki ya kifo cha Mwl .Nyerere kwanini misa kitaifa msifanyie chattle huko?

Mmemsaliti dikteta aliyepeleka hadi route ya ATCL chattle.
 
Wewe kama nani? Sema wewe na matako yako ndio ulikuwa humkubali Magufuli acha kuwasemea Watanzania wengine.
Hahahaha ni jibu zuri sana kwake huyo pimbi! Ni vijana.waliojazana humu na ID zaidi ya moja kazi yao kumtukana Magufuli!
 
Back
Top Bottom