Naona Marais wote wakristo wametangulia mbele za haki...kuoa wake wengi kunaongeza siku za kuishi 😂😂
Wewe ndio hauna critical mind kuelewa jambo jepesi sn, alifufua shirika ambalo lilikuwa limekufa kabisa na kurithi madeni chungu nzima, hiyo critical mind yako iko wapi? Au unasahau madeni ya kina mtaka wanaenda kukodi ndege shirika likaingia hasara ya mabillion ya pesa, watanzania kama wewe ndio hamna CRITICAL MIND.
Kwa ufupi ATCL ilikuwa imekufa kabisa, shirika haliwezi tengeneza faida wakati lime rithi madeni ya mabillion. Ndio maana ATCL haiwezi kwenda baadhi ya nchi ndege zake zitakamatwa. Magufuli ndio alitengeneza hayo madeni?
Unashindwa kuelewa a simple fact like that? Magufuli was not an Angel na binafsi kuna mambo kadhaa nilikuwa nampinga lakini ni Rais unaweza muweka level za Nyerere, he was A TRUE leader, ni Nyerere na magufuli walio liliwa na wananchi kiasi kile, you have to ask yourself why!!