Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Hakika Magufuli alikuwa mtumishi wa Bwana kwelikweli. Aendelee kupumzika kwa amani mbinguni.
Isijekuwa kwa sasa Magu ndie house boy wa Ben Saa Nane & co Ltd..kheri tumwombee yasimkute hayo. Maana mmmh
 
Nimegundua wengi hamna uthibitisho wa tuhuma zozote mnazozi-raise kuhusu Magufuli.

Mmejazwa propaganda za mafisadi, mabeberu na vibaraka wao ambao Magufuli aliwabana kwa masilahi ya Tanzania na Watanzania.

Msikubali kutumika. Jiongezeni, kuweni wazalendo.
 
Isijekuwa kwa sasa Magu ndie house boy wa Ben Saa Nane & co Ltd..kheri tumwombee yasimkute hayo. Maana mmmh
Ben Saanane ni nani? Anahusika vipi na kifo cha Magufuli? Huo u-houseboy umetoka wapi?
 
Tanzania itajengwa na Watanzania pekee.
 
Attachments

  • status_me_status_VID-20220314-WA0002.mp4
    1.2 MB
He who alleges must prove.
They'll always be remembered as allegations, if you don't like it then prove us wrong.
The government can clear the air(if it's willing to) by allowing the independent investigators.
 
They'll always be remembered as allegations, if you don't like it then prove us wrong.
The government can clear the air(if it's willing to) by allowing the independent investigators.
The government never alleged, you did.

And so all the proof burden lies on your shoulders.

Please provide us with a very credible proof of your allegations.
 
Hilo jizi halistahili kuombewa, ni la kuchomwa moto wa milele! Alituletea wahuni akina Bashite, Sabaya na akawalinda kwa nguvu zote! akawafanyia unyama wapinzani as if siyo watanzania, hafai, hafai, na hastahili kuombewa
Hizo chuki zote kwa marehemu za nini? Yesu alisema: mwenye afya hamhitaji daktari. Mgonjwa ndiye anamhitaji daktari. Kama unamuona Magufuli kuwa alikuwa mdhambi, basi huyo ndiye wakuombewa. Mtakatifu haitaji kuombewa. Waache wanaotaka kumuombea Magufuli wafanye hivyo. Wewe usiyetaka, kaa na lwako. Hakuna haja ya kuwaingilia wanaotaka kufanya hivyo mradi tu hawaji kukulazimisha uwaunge mkono.
 
The government never alleged, you did.

And so all the proof burden lies on your shoulders.

Please provide us with a very credible proof of your allegations.
I'll keep on with my allegations, if you don't like it then prove me wrong.
 
Watoto wa mwangosi wanateseka hawana baba alikufa kifo cha kinyama utumbo nje kama si binadamu ,Dr ulimboka alipata maumivu makali kung'olewa meno bila gazi,wale waliomzomea malaika wenu mbeya hawajulikani walipo.Hilo hamlioni unaona ya JPM tu acha bias naye atakuwa wapi?
Dr Mvungi pia aliuawa na JPM? Akina Kubenea walimwagiwa tundikali na JPM? Wale vilema na watu waliokufa kwa mabomu Arusha kwenye mkutano wa Chadema na Kanisani ni JPM? Inawezekana wengine mlikuwa wadogo au mnasikiliza wanasiasa uchwara ambao wao kuguswa ndio wanataka kufanya ulimwengu usimame wakati huko nyuma makamanda kibao waliondoka akiwemo Kamanda Mawazo ni JPM?
 
I'll keep on with my allegations, if you don't like it then prove me wrong.
Why should I prove something that does not even exist? Just keep 'em to yourself. 😁
 
Mnamuombea ili afanyeje yaani
Aendelee kula maisha mbinguni. Lakini pia tunafanya adhimisho la kukumbuka kazi kubwa aliyoifanya nchini kwetu ambayo hakuna Rais yeyote aliyeifikia. We celebrate his mighty service to the nation and great life on planet earth.
 
Mna uhakika yupo mbinguni? Haya tufanye yuko mbinguni, msipomuombea atahamishwa? Ninachotaka kujua ni kuwa maombi yenu yatakuwa na impact gani kwa marehemu
 
Dr Mvungi pia aliuawa na JPM? Akina Kubenea walimwagiwa tundikali na JPM? Wale vilema na watu waliokufa kwa mabomu Arusha kwenye mkutano wa Chadema na Kanisani ni JPM? Inawezekana wengine mlikuwa wadogo au mnasikiliza wanasiasa uchwara ambao wao kuguswa ndio wanataka kufanya ulimwengu usimame wakati huko nyuma makamanda kibao waliondoka akiwemo Kamanda Mawazo ni JPM?
Hao madogo hawawezi kukuelewa wamejaa maneneo ya shombo tu.
 
Naamini hii misa itavunja record kwa mahudhurio ya watu, ngoja nikusanye nauli nikahudhurie sitataka kusimuliwa.

Huyo Askofu Makande asisahau kuwaombea akina Ben Saa8, Azory na viroba vyote vilivyookotwa ndani ya mto Ruvu na baharini kule Coco beach
 
Mna uhakika yupo mbinguni? Haya tufanye yuko mbinguni, msipomuombea atahamishwa? Ninachotaka kujua ni kuwa maombi yenu yatakuwa na impact gani kwa marehemu
01: Kama roho yake ipo toharani (purgatory) iende mbinguni ili awe muombezi wetu pia.

02: Kama yupo mbinguni, automatically sala zetu zinaungana na zake huko mbinguni kwa ajili ya roho za waamini waliopo toharani.

03: Tunakumbuka na kuenzi maisha yake mema hapa duniani, mchango wake mkuu kwa taifa letu pamoja na maisha yake mema.

04: He is, and should be, the source of inspiration to many of us for his devoted hardwork, love for his country and fellow countrymen.
 
Huyo Askofu Makande asisahau kuwaombea akina Ben Saa8, Azory na viroba vyote vilivyookotwa ndani ya mto Ruvu na baharini kule Coco beach
Unaweza kuwaombea na wewe. Haujakatazwa.
 
Back
Top Bottom