Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

hizo ni opinion zao(mawazo yao) ukiwaomba uthibitsho mpaka yesu anarudi hawatakupatia.
Haha... Wanatapatapa tu.

Mara wanakimbilia uchunguzi huru mara wengine tuombe iundwe tume kuchunguza ukweli.

Sijui wao waliunda tume gani mpaka wakaugundua huo ukweli. Watoe findings za hizo tume zao.

Hawa watu ni hopeless kabisa.
 
Nawe nakushuru pia kuelewa hakuna kitachaweza kumsafisha Jiwe, kila aliyesababisha madhila asemwe tu.
Unasafishaje kitu ambacho ni kisafi tayari!!?
 
Siwezi kuwa sehemu ya mamlaka corrupt.
Sasa kama wewe siyo sehemu ya hizo mamlaka zinazothibitisha umeujuaje ukweli? Na kama unaujua ukweli si uweke uthibitisho hapa? Unaogopa nini wakati unatumia anonymous ID?
 
Japokua nampenda Magufuli ila ibada za kuwaombea wafu hapana, ni machukizo mbele za Mungu na hayo maombi yenu Mungu hasikii. Baada ya kifo ni hukumu, kama alimaliza vyema na Bwana basi yupo salama, kama hakumaliza vyema na Bwana basi asubiri hukumu
Kwa mujibu wa mafundisho ya imani ipi?

Unajua Magufuli aliamini katika dini/dhehebu gani?

Nini mafundisho ya imani aliyoiamini?

Wewe ni Mungu? Au una uwezo na mamlaka gani ya kumpangia utendaji kazi wake?

Nini maana ya hukumu?
 
Japokua nampenda Magufuli ila ibada za kuwaombea wafu hapana, ni machukizo mbele za Mungu na hayo maombi yenu Mungu hasikii. Baada ya kifo ni hukumu, kama alimaliza vyema na Bwana basi yupo salama, kama hakumaliza vyema na Bwana basi asubiri hukumu
Wewe ni nani? Asiyasikie.Razaro aliombea na ndugu zake kwa yesu kuwa rafiki yake amekufa na mwisho Yesu akawaambia msilie Razoro ni mzima akafufuliwa.Bibilia ni maandiko ya Mungu yanahitaji Roho mtakatifu kujuwa maandiko ukisoma kama kitabu cha hadithi utaambuka
 
Sasa kama wewe siyo sehemu ya hizo mamlaka zinazothibitisha umeujuaje ukweli? Na kama unaujua ukweli si uweke uthibitisho hapa? Unaogopa nini wakati unatumia anonymous ID?

Kwani kujua ukweli lazima niwe kwenye hizo mamlaka.? Nikuwekee ww kama nani. Ni hivi, dhalimu ndio muhusika, hutaki jinyonge, ni imeisha hiyo.
 
Bila uthibitisho zinabaki kuwa hearsay na speculations tu. Keep 'em to yourself. Magufuli remains our all time greatest president.

Just a piece of advise: go see a psychologist ASAP before your condition worsens, it's randomly deteriorating.

Pole.
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika, fullstop.
 
Thibitisha tuhuma zako.
Umeshaandika hapo, TUHUMA. Hivyo basi zitaendelea kuwa tuhuma mpaka pale serikali itakapokubali uchunguzi huru, polisi wa Bongo walikuwa part and parcel ya uzandiki wa Jiwe hivyo hawafai kupewa jukumu la upelelezi. Uchunguzi huru pia ndiyo jambo pekee liweza kumsafisha kwetu sisi due to circumstantial evidences zinazosababisha tunaoamini mabaya yote yaliyotokea wakati wa utawala wake yeye ndiyo alikuwa akiya-initiate.
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika, fullstop.
Wakati wake umefika na mwendo ameumaliza kwa kutekekeza kazi zake vizuri 90℅ with grade A.bado wewe hujuwi saa wala wakati na utaondokaje?.utaondoka ukiwa umeachama mdomo ishara kwamba uendako sio kuzuri umeshangaaa
 
Nyie mliunda tume gani mpaka mkaugundua huo ukweli?
Hakuna niliposema naujua ukweli. Tunachojua ni serikali imegoma kufanya uchunguzi kwenye haya mambo kwa sababu zao. Tutashukuru kama Maza ataamulu uchunguzi ili ukweli ujulikane.
 
Umeshaandika hapo, TUHUMA. Hivyo basi zitaendelea kuwa tuhuma mpaka pale serikali itakapokubali uchunguzi huru, polisi wa Bongo walikuwa part and parcel ya uzandiki wa Jiwe hivyo hawafai kupewa jukumu la upelelezi. Uchunguzi huru pia ndiyo jambo pekee liweza kumsafisha kwetu sisi due to circumstantial evidences zinazosababisha tunaoamini mabaya yote yaliyotokea wakati wa utawala wake yeye ndiyo alikuwa akiya-initiate.
He who alleges must prove.
 
Hakuna niliposema naujua ukweli. Tunachojua ni serikali imegoma kufanya uchunguzi kwenye haya mambo kwa sababu zao. Tutashukuru kama Maza ataamulu uchunguzi ili ukweli ujulikane.
Kwahiyo mnatuhumu bila uthibitisho?

Mwenye kazi ya kuthibitisha tuhuma ni yule anayetuhumu, anything short of that inakuwa ni smearing campaign.

Shida vijana mnajazwa propaganda za mafisadi na mabeberu, na nyie bila kutumia ubongo wenu mnazimeza kama zilivyo.

Siku nyingine mtu akikuambia tuhuma kuhusu mtu mwingine (Siyo kwa Magufuli pekee) mwambie akupe uthibitisho kabla haujaanza kuzisambaza.

Akili kumkichwa.
 
Back
Top Bottom