MASHANJARA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 379
- 500
Isijekuwa kwa sasa Magu ndie house boy wa Ben Saa Nane & co Ltd..kheri tumwombee yasimkute hayo. Maana mmmhHakika Magufuli alikuwa mtumishi wa Bwana kwelikweli. Aendelee kupumzika kwa amani mbinguni.
They'll always be remembered as allegations, if you don't like it then prove us wrong.He who alleges must prove.
The government never alleged, you did.They'll always be remembered as allegations, if you don't like it then prove us wrong.
The government can clear the air(if it's willing to) by allowing the independent investigators.
Hizo chuki zote kwa marehemu za nini? Yesu alisema: mwenye afya hamhitaji daktari. Mgonjwa ndiye anamhitaji daktari. Kama unamuona Magufuli kuwa alikuwa mdhambi, basi huyo ndiye wakuombewa. Mtakatifu haitaji kuombewa. Waache wanaotaka kumuombea Magufuli wafanye hivyo. Wewe usiyetaka, kaa na lwako. Hakuna haja ya kuwaingilia wanaotaka kufanya hivyo mradi tu hawaji kukulazimisha uwaunge mkono.Hilo jizi halistahili kuombewa, ni la kuchomwa moto wa milele! Alituletea wahuni akina Bashite, Sabaya na akawalinda kwa nguvu zote! akawafanyia unyama wapinzani as if siyo watanzania, hafai, hafai, na hastahili kuombewa
I'll keep on with my allegations, if you don't like it then prove me wrong.The government never alleged, you did.
And so all the proof burden lies on your shoulders.
Please provide us with a very credible proof of your allegations.
Dr Mvungi pia aliuawa na JPM? Akina Kubenea walimwagiwa tundikali na JPM? Wale vilema na watu waliokufa kwa mabomu Arusha kwenye mkutano wa Chadema na Kanisani ni JPM? Inawezekana wengine mlikuwa wadogo au mnasikiliza wanasiasa uchwara ambao wao kuguswa ndio wanataka kufanya ulimwengu usimame wakati huko nyuma makamanda kibao waliondoka akiwemo Kamanda Mawazo ni JPM?Watoto wa mwangosi wanateseka hawana baba alikufa kifo cha kinyama utumbo nje kama si binadamu ,Dr ulimboka alipata maumivu makali kung'olewa meno bila gazi,wale waliomzomea malaika wenu mbeya hawajulikani walipo.Hilo hamlioni unaona ya JPM tu acha bias naye atakuwa wapi?
Aendelee kula maisha mbinguni. Lakini pia tunafanya adhimisho la kukumbuka kazi kubwa aliyoifanya nchini kwetu ambayo hakuna Rais yeyote aliyeifikia. We celebrate his mighty service to the nation and great life on planet earth.Mnamuombea ili afanyeje yaani
Mna uhakika yupo mbinguni? Haya tufanye yuko mbinguni, msipomuombea atahamishwa? Ninachotaka kujua ni kuwa maombi yenu yatakuwa na impact gani kwa marehemuAendelee kula maisha mbinguni. Lakini pia tunafanya adhimisho la kukumbuka kazi kubwa aliyoifanya nchini kwetu ambayo hakuna Rais yeyote aliyeifikia. We celebrate his mighty service to the nation and great life on planet earth.
Hao madogo hawawezi kukuelewa wamejaa maneneo ya shombo tu.Dr Mvungi pia aliuawa na JPM? Akina Kubenea walimwagiwa tundikali na JPM? Wale vilema na watu waliokufa kwa mabomu Arusha kwenye mkutano wa Chadema na Kanisani ni JPM? Inawezekana wengine mlikuwa wadogo au mnasikiliza wanasiasa uchwara ambao wao kuguswa ndio wanataka kufanya ulimwengu usimame wakati huko nyuma makamanda kibao waliondoka akiwemo Kamanda Mawazo ni JPM?
Naamini hii misa itavunja record kwa mahudhurio ya watu, ngoja nikusanye nauli nikahudhurie sitataka kusimuliwa.
01: Kama roho yake ipo toharani (purgatory) iende mbinguni ili awe muombezi wetu pia.Mna uhakika yupo mbinguni? Haya tufanye yuko mbinguni, msipomuombea atahamishwa? Ninachotaka kujua ni kuwa maombi yenu yatakuwa na impact gani kwa marehemu
Nani mnamuachia kazi ya kukumbuka mabaya?R.I.P JEMBE tutakukumbuka kwa mazuri tu na wala si mabaya.