Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Tutaendelea kuwatuhumu mpaka pale watakapojisagisha wenyewe. Wao ndiyo wenye mamlaka na circumstantial evidence zinawapoint wao lakini wako kimya.

Kwa akili ya kawaida tu Inawezekanaje watumie nguvu, muda na pesa nyingi kufuatilia ugaidi wa kuchonga halafu washindwe kufuatilia ugaidi ulio obvious....!!?
 
Na kwa kuwa hamna uthibitisho wowote, tumewapuuza.
 
Acha kutujumuisha mkuu, sema kipenzi chako wew na familia yako au sukuma gang wenzio. Wengine ni wapenzi wa Lissu ambaye unajua Jiwe alitaka kumfanya nini lakini Mungu akaingilia kati.
Team gaidi.
 
Acha kutujumuisha mkuu, sema kipenzi chako wew na familia yako au sukuma gang wenzio. Wengine ni wapenzi wa Lissu ambaye unajua Jiwe alitaka kumfanya nini lakini Mungu akaingilia kati.
Hilo shoga lenu hata mlipige mijiti chadema wote halitakuwa rais.
 
Hawa vijana hawana connection na tawala za nyuma wanachokalili wao ni ujinga waliolishwa na wanasiasa uchwara.tukiwakumbushia ya mkapa ndo watadata.Naomba unachambuwa mambo muwe na kitu kinachoitwa transfer of knowledge na matukio ya nyuma ndo maana yakuwa msomi umefundishwa reserch kuna kitu kinaitwa citation reffrence za nyuma ndo utaeleweka
 
Why should I prove something that does not even exist? Just keep 'em to yourself. [emoji16]
Painful truth is that those allegations exist and I'm not keeping them to myself, I'm making a lot of noises about them.
I'm obligated to prove anything to anyone? I don't think so.
 
Painful truth is that those allegations exist and I'm not keeping them to myself, I'm making a lot of noises about them.
I'm obligated to prove anything to anyone? I don't think so.
Good luck!
 
Hilo shoga lenu hata mlipige mijiti chadema wote halitakuwa rais.
Hii sijajua una maana gani kwa comment yako hii. Kama umemaanisha matusi basi jua umeishiwa hoja hivyo umebaki na matusi, kama hukumaanisha hivyo (matusi) basi sijakupata mkuu waweza nielewesha zaidi
 
Jichunguze wewe unayeingilia Iman za watu....NI UPUMBAVU NA HUFANYWA NA WAPUMBAVU,NARUDIA TENA UMPUMBAVU
mbona makasiriko mengi bro. au ndo mnachofundishwa hicho, kikutokacho ni uchafu, na ndio uliojaza moyo wako. tafuta suluhisho la wokovu ili upate furaha na amani ya moyo. wala sio wewe ila shetani aliye ndani yako ndio anakufanya uwe hivyo. Mungu akusaidie.
 
Wokovu upi huo unaouongelea?
 
Just Hahaha...

Magufuli atake kumtoa Samia ashindwe!

What a wishful thinking.
Kuna mengi usiyoyafahamu. Kama si Mkapa, Samia asingeendelea na nafasi yake, na leo asingekuwa Rais.

'wewe ni mtu gani usiyeweza kufanya kazi na kila mtu' - Mkapa.

Amemaliza muda wake wa kuwepo Duniani. Tumwombee. Mungu ndiye mwamuzi wetu. Machache mazuri aliyoyafanya yaenziwe. Mengi maovu aliyoyatenda, yatupe nafasi ya kujifunza, ili tuzuie yasijirudie mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…