Team gaidi mnaumiaKuna mengi usiyoyafahamu. Kama si Mkapa, Samia asingeendelea na nafasi yake, na leo asingekuwa Rais.
'wewe ni mtu gani usiyeweza kufanya kazi na kila mtu' - Mkapa.
Amemaliza muda wake wa kuwepo Duniani. Tumwombee. Mungu ndiye mwamuzi wetu. Machache mazuri aliyoyafanya yaenziwe. Mengi maovu aliyoyatenda, yatupe nafasi ya kujifunza, ili tuzuie yasijirudie mbeleni.
Tuwekee hapa hiyo video clip, audio na au hata screenshot kutoka kwenye credible source yoyote... Kwa kifupi thibitisha unachokisema.Kuna mengi usiyoyafahamu. Kama si Mkapa, Samia asingeendelea na nafasi yake, na leo asingekuwa Rais.
'wewe ni mtu gani usiyeweza kufanya kazi na kila mtu' - Mkapa.
Amemaliza muda wake wa kuwepo Duniani. Tumwombee. Mungu ndiye mwamuzi wetu. Machache mazuri aliyoyafanya yaenziwe. Mengi maovu aliyoyatenda, yatupe nafasi ya kujifunza, ili tuzuie yasijirudie mbeleni.
Hawezi kukupa ushahidi,huyo ni lilie genge linalolipwa hela kwa kazi hiyo,Ulisema Magufuli muuaji, nikakuambia uthibitishe ndio umekuja na hizi ngojera. Huu ndio uthibitisho?
najua hauujui wokovu wowote ule hapa duniani, na hamfundishwi hivyo ndio maana hauujuu hata wokovu ni nini.Wokovu upi huo unaouongelea?
🥰Tena Chuma hasa
Ben SaananeAlimuua nani?
Mwambie kikosi kazi Cha mauaji alichokiunda kinapelekeshwa huku Kapilimba anatafutwa nae apigwe risasi 16.Painful truth is that those allegations exist and I'm not keeping them to myself, I'm making a lot of noises about them.
I'm obligated to prove anything to anyone? I don't think so.