Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Team gaidi mnaumiaKuna mengi usiyoyafahamu. Kama si Mkapa, Samia asingeendelea na nafasi yake, na leo asingekuwa Rais.
'wewe ni mtu gani usiyeweza kufanya kazi na kila mtu' - Mkapa.
Amemaliza muda wake wa kuwepo Duniani. Tumwombee. Mungu ndiye mwamuzi wetu. Machache mazuri aliyoyafanya yaenziwe. Mengi maovu aliyoyatenda, yatupe nafasi ya kujifunza, ili tuzuie yasijirudie mbeleni.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app