Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
you will never see God, kwasababu mnaabudu dini, hamuabudu Mungu. lazima muokoke ndio mtamwona Mungu. ukweli huu unaujua moyoni, na unaishi ukihangaika kubishana na nafsi yako. shahidi wa kwanza wa uzima wa roho yako ni wewe mwenyewe,Kwahiyo mmeshahukumu Wakatoliki hawamuombi Mungu!
yap, kumkufuru Roho Mtakatifu hakuna msamaha wa dhambi. lakini ukweli mwingine upo palepale, baada ya kifo ni hukumu, mtu anatakiwa kutengeneza maisha yake na Mungu angali hai, akifa hakuna nafasi hiyo tena bali kusubiria hukumu tu.Hakika baada ya kifo hukumu. Soma na huu unijibu huu msamaha ktk ulimwengu ujao ni nini? Kuna zawadi ukijibu [emoji23]
32 Naye mtu ye yote atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali yeye atakayenena neno juu ya Roho Mtakatifu hatasamehewa katika ulimwengu wa sasa, wala katika ule ujao.
Mathayo 12:32
Kwahiyo ulitaka mpaka Yesu aseme ...Mungu namuombea Lazaro? [emoji23] Hapa Yesu haombi? Sasa sisi hatuwaombei wafufuke kama Lazaro ambaye muujiza wake ulikuwa na lengo ili Kristo aminiwe na baadae alikufa tena!
Sisi tunaombea wapendwa wetu uzima wa milele! Kusamehe au kutosamehe inabaki kwa Muumba mwenyewe sisi wajibu wetu tukiwa hai ni kuombeana! Maandiko yanasema hata Kifo hakitatutenganisha na upendo wa Kristo.
41 Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia.
Yohana 11:41
42 Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia sikuzote; lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria nalisema haya, ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma.
Yohana 11:42
43 Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.
Yohana 11:43
yaani unataka nianze kukufafanulia hayo? soma
Yohana 11:41-44 ” Alipokwisha sema hayo, akaita kwa sauti kubwa: “Lazaro! Toka nje!” Huyo aliyekuwa amekufa akatoka nje, huku amefungwa sanda miguu na mikono, na uso wake umefunikwa. Yesu akawaambia, “Mfungueni, mkamwache aende zake.”
we expect the same to happen kwenu, muite kwa sauti, jpm toka nje, atoke aende chattle.
Kwahiyo nyie ni sawa na Yesu?aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo atazifanya, naam na kubwa kuliko hizi.
Yohana 14:12 NEN
Amin, amin nawaambia, yeyote aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo yeye atazifanya, naam na kubwa kuliko hizi atazifanya, kwa sababu mimi ninakwenda kwa Baba.
Huw
mbona huu haujaujibu.Huwa wanapenda kuokoteza tumistari tumojamoja tunato-serve interests zao halafu ndio wanatukomalia.
Ebr 9:27-28 SUV
Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu; kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu.
a wanapenda kuokoteza tumistari tumojamoja tunato-serve interests zao halafu ndio wanatukomalia.sa
Kwahiyo umeshatuhukumu!you will never see God, kwasababu mnaabudu dini, hamuabudu Mungu. lazima muokoke ndio mtamwona Mungu. ukweli huu unaujua moyoni, na unaishi ukihangaika kubishana na nafsi yako. shahidi wa kwanza wa uzima wa roho yako ni wewe mwenyewe,
Issue hapa ni hiyo sehemu inayosema kutosamehewa maisha ya hapa duniani au yajayo.yap, kumkufuru Roho Mtakatifu hakuna msamaha wa dhambi. lakini ukweli mwingine upo palepale, baada ya kifo ni hukumu, mtu anatakiwa kutengeneza maisha yake na Mungu angali hai, akifa hakuna nafasi hiyo tena bali kusubiria hukumu tu.
tumeshakujibu.huu haujaujibu.
Ebr 9:27-28 SUV
Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu; kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu.
Wewe ndio unajipa tabu, Kanisa Katoliki ndio kongwe, lenye waamini wengi, ndio limetengeneza huu Ukristo unaotamba nao leo ikiwemo Bible unayotumia! Sasa nikusikilize wewe au Kanisa?you will never see God, kwasababu mnaabudu dini, hamuabudu Mungu. lazima muokoke ndio mtamwona Mungu. ukweli huu unaujua moyoni, na unaishi ukihangaika kubishana na nafsi yako. shahidi wa kwanza wa uzima wa roho yako ni wewe mwenyewe,
Acha kukimbia swali, msamaha ulimwengu ujao ni upi???? Nenda church kaulize kesho uje na jibu!huu haujaujibu.
Ebr 9:27-28 SUV
Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu; kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu.
yaani haujui kutafsiri Neno la Mungu. my friend, ndio maana tunasema muokoke Roho Mtakatifu awasaidie. ni kweli kuna maisha yajayo, whicih means kuna siku hata hao wafu watafufuta watakuwa hai/watakuwa na maisha/watakuwa wanaishi. tunategemea hilo pale Yesu atakaposhuka na parapanda wafu watafufuka na kuungana na watakatifu walio hao wataungana kumlaki Bwana mawinguni, na kuna kipindi Yesu atatawala miaka 1000 hapa hapa duniani,wakati huo wafu hao tunaowaona watakuwa wamefufuliwa. but before kutawala, baada ya karama ya miaka 7 hewani, atashuka na mawingu, ataihukumu dunia pale atakapowabagua kama vile mchungaji abaguavyo kondoo na mbuzi. hii ndio maana ya maisha yajayo. kuna maisha baada ya hapa, lakini hata kama kiuna maisha, haimaanishi kwamba kuna kuokoka baada ya hapa. hakuna mstari wowote wa Biblia unaosema kutakuwa na kuokoka/kumpokea Yesu baada ya parapanda. never. usipoteze muda ukitarajia nafasi zijazo, hazipo.okoka sasa padre.Issue hapa ni hiyo sehemu inayosema kutosamehewa maisha ya hapa duniani au yajayo.
Maana yake kuna msamaha wa dhambi kwenye maisha yajayo; nyie Wakristo hewa mnapingana na maneno ya Yesu.
Nyie ni wapinga Kristu automatically.
Yesu alikufa na kufufuka, wao wanaweza! Hii mistari si ya kunukuu tu kama kasuku. Yesu ametupa kazi ya injili si kutoana mapepo tu ibada karibia nzima na kujiona ndio wana nguvu kuliko wengine [emoji23]Kwahiyo nyie ni sawa na Yesu?
hata Yesu aliwaita mafarisayo kuwa ni wenye dhambi. kumwita mtu mwenye dhambi sio kuhukumu.Kwahiyo umeshatuhukumu!
.
.
.
Na unajiita Mkristu! 😁
Kwahiyo acha kuandika maneno mingi, Yesu amemaanisha upo msamaha ulimwengu ujao sawa?yaani haujui kutafsiri Neno la Mungu. my friend, ndio maana tunasema muokoke Roho Mtakatifu awasaidie. ni kweli kuna maisha yajayo, whicih means kuna siku hata hao wafu watafufuta watakuwa hai/watakuwa na maisha/watakuwa wanaishi. tunategemea hilo pale Yesu atakaposhuka na parapanda wafu watafufuka na kuungana na watakatifu walio hao wataungana kumlaki Bwana mawinguni, na kuna kipindi Yesu atatawala miaka 1000 hapa hapa duniani,wakati huo wafu hao tunaowaona watakuwa wamefufuliwa. but before kutawala, baada ya karama ya miaka 7 hewani, atashuka na mawingu, ataihukumu dunia pale atakapowabagua kama vile mchungaji abaguavyo kondoo na mbuzi. hii ndio maana ya maisha yajayo. kuna maisha baada ya hapa, lakini hata kama kiuna maisha, haimaanishi kwamba kuna kuokoka baada ya hapa. hakuna mstari wowote wa Biblia unaosema kutakuwa na kuokoka/kumpokea Yesu baada ya parapanda. never. usipoteze muda ukitarajia nafasi zijazo, hazipo.okoka sasa padre.
umejibu ninitumeshakujibu.
hajamaanisha kama kuna msamaha ulimwengu ujao. aliongea moja kwa moja kwamba katika ulimwengu huu hakuna msamaha na katika ulimwengu ujao hakutakuwa na msamaha. mbona rahisi tu kuelewa aisee? au umeshakunywa pombe padre.Kwahiyo acha kuandika maneno mingi, Yesu amemaanisha upo msamaha ulimwengu ujao sawa?
Nilijua tu lazima utafute shortcut [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] , ngoja nikuache ila najua hiyo mistari michache itakusumbua muda mrefu labda uwe bendera fata upepo.hajamaanisha kama kuna msamaha ulimwengu ujao. aliongea moja kwa moja kwamba katika ulimwengu huu hakuna msamaha na katika ulimwengu ujao hakutakuwa na msamaha. mbona rahisi tu kuelewa aisee? au umeshakunywa pombe padre.