Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Inanisumbuaje sasa, wakati yesu atakaporudi tena mara ya kwanza hagusi kabisa hapa ardhini, ataishia mawinguni ambapo wafu na walio hai watakatifu watapaa kuungana naye, baada ya miaka 7 atashuka na mawingu na hapo ndipo ataihukumu dunia.Nilijua tu lazima utafute shortcut [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] , ngoja nikuache ila najua hiyo mistari michache itakusumbua muda mrefu labda uwe bendera fata upepo.
Baada ya kuihukumu dunia wale wachafu/waliomkataa kama wakatoliki, watatupwa ziwa la moto, ila wale watakatifu waliookoka na kuishi maisha matakatifu (jua ukiokoka usiishi maisha matakatifu unapoteza muda), watatawala naye yerusalem mpya itakayoshuka toka mbinguni miaka 1000, na baada ya hapo ndio watatawala na bwana milele na milele.
Sasa hapo kuna nafasi gani ya watu kuokoka tena? Kungekuwa na ulimwengu miwngine kuokoka yesu si angesubiri tu ulimwengu huo mwingine ufika ndio ashuke kuukomboa ulimwengu? Mnadanganywa hadi lini?