crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,864
- 2,955
Kuweni makini maana neno la Mungu haliishi kutakasa mashindano yetu ya nani imani yake ni bora au sahihi. Wakatoliki na Wasiowakatoliki.kuombea/ibaza za wafu ni chukizo kwa Mungu. baada ya kifo ni hukumu, hata uombe namna gani mtu aliyekufa kama hakutengeneza maisha yake kabla ya kufa huwezi kumtakasa. acheni kupoteza watu, acheni ibada za wafu. kanisa katoliki lina imani ya kupeleka watu motoni moja kwa moja.
Kwake yeye analoangalia zaidi ni uhusiano wa nafsi yako na Yeye.
Tuwe makini pia tunapotafsiri kati ya; Kuombea wafu na kuwaomba wafu na nini kimekatazwa.
Biblia haijaandika popote pale Mungu aliposema kitu fulani usiniombe. Hamna mpendwa.
Kafungua njia kwa binadamu; Soma Phillipians 4:6 ( Wafilipi 4:6)