Mwaka mmoja bila Magufuli: Wasiokuwa wazalendo waendelea kuweweseka

Yupo huko anawaka moto... lile fashisti lisingekufa Sabaya angechoma watu moto...
Umekufa na wewe ukamkuta anawaka moto? Na wewe ulichomwa? Ikawaje unaishi tena au tunaongea na mapepo?
 
Umekufa na wewe ukamkuta anawaka moto? Na wewe ulichomwa? Ikawaje unaishi tena au tunaongea na mapepo?
Fashisti yupo kuzimu anawaka moto thats all.

Inajulikana makao ya wachawi baada ya kufa ni wapi.
 
Tutamkumbuka daima kiongozi aliyekaa muda mfupi lakini ametengeneza poroject kubwa kwa manufaa ya wote
 
Reactions: Ame

Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Kuna mwingine amewekwa Nishati lakini kila siku yupo Ughaibuni utafikiri ni Waziri wa Mambo ya Nje. 😁

Acha aende tu, ili mradi wasiendeshe kundi la kuteka wananchi, kuua, kubambikia kesi na kunajisi uchaguzi.

Inshort hatutaki utawala wa washamba na walevi wa madaraka.
 
Hata Idd Amin bado anao wafuasi , Kampala, Jinja , Tororo, Mbarara , Entebbe na Kwingineko.
 
Najisikia faraja sana napopita sehemu nikasikia chuma JPM anatajwa kwa uzuri hasa akiitwa jina " Mzee " ni furaha sana.

Utasikia Mzee alisema......, Mzee alifanya......., Kipindi cha Mzee ilikua......, mara Mzee yeye aliweza..... nk
Mkuu hata Mwinyi,Kikwete,Mkapa ama Samia kuna watu wengi sana wanawasema kwa mazuri yao wala huwezi kuwaeleza mabaya yao wakakuelewa.

Vivyo hivyo kama wewe unavyomuona huyo unayemkubali na kufurahi anapitajwa kwa mazuri.

All in all hakuna binadamu anayesemwa kwa mazuri pekee lazima yawepo mabaya pia.
 
Acha aende tu, ili mradi wasiendeshe kundi la kuteka wananchi, kuua, kubambikia kesi na kunajisi uchaguzi. Inshort hatutaki utawala wa washamba na walevi wa madaraka.
Mama anaupiga mwingi sana. 😁
 
Nitajie kiongozi mmoja tu wa juu kabisa aliyewahi kukutana na gaidi.
Nimekuuliza Rais akikutana na wewe unakuwa mwema ghafla?

Kama ni gaidi, ugaidi wako unaisha? Jibu swali acha kurukaruka.
 
MAFISADI YANAOGOPA HATA MTU ALIYEKUFA! HAYATAKI KUMSIKIA KABISA.

KWELI JPM ALIKUWA CHUMA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…