Mwaka mmoja wa Rais Samia na RC Kafulila ukusanyaji mapato Simiyu sasa ni mara tatu zaidi, maajabu ni Itilima kukusanya TZS 1.4BL

Mwaka mmoja wa Rais Samia na RC Kafulila ukusanyaji mapato Simiyu sasa ni mara tatu zaidi, maajabu ni Itilima kukusanya TZS 1.4BL

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466
IMG-20220628-WA0001.jpg
Nilipokuja Simiyu kuanza kazi mwaka jana 2021 baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa Rais wa JMT na kuniapisha kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu.

Nilikuta halmashauri zina hali mbaya sana kwenye usimamizi wa mapato.

Maswa ilikuwa imekusanya 39% ya lengo, leo imefika 120%.

Mapato kwa miradi ya maendeleo Bariadi Mji mlitekeleza 30% leo mmefika 99%.

Itilima iliyokuwa kundi la halmashauri duni nchini kwa kukusanya chini ya 1bn, leo imekusanya 1.4bn.

Kesho nitamalizia Busega na Bariadi vijijini tuone CAG anaonesha nini.

Naamini kote kuna mabadiliko makubwa " RC- Kafulila leo Juni27, 2022 baada ya vikao vya hoja za CAG kwa halmashauri za Maswa na Bariadi Mji baada kumaliza vikao hivyo kwa Meatu na Itilima Juni25, 2022.

#Mimi Jabali niko tayari kuhesabiwa siku ya tarehe 23|08|2022,Wewe Je?
 
Ila siasa ni kweli mchezo mchafu, nakumbuka enzi za the late JPM, wakat simiyu RC akiwa mtaka , Simiyu ilikkuwa ikisifiwa pia ..sasa iweje leo isemwe kwamba hali ilikuwa mbaya
🤔🤔🤔🤔🤔
 
Niko simiyu, kafulila Yuko vizuri sana , Ni mtu ambaye ni mchapa kazi , Hana majigambo Kama alivyokuwa mtangulizi wake Bwana mtaka chui aliyejificha kwenye ngozi ya Usabato.

Hongera sana kafulila, uko vizuri sana my brother from another mother!
 
Nilipokuja Simiyu kuanza kazi mwaka jana 2021 baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa Rais wa JMT na kuniapisha kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu...
Utakwenda kujiandikisha wapi? Wewe jiandae kuhesabiwa hapo hapo ulipo[emoji95][emoji95]
 
Niko simiyu, kafulila Yuko vizuri sana , Ni mtu ambaye ni mchapa kazi , Hana majigambo Kama alivyokuwa mtangulizi wake Bwana mtaka chui aliyejificha kwenye ngozi ya Usabato...
Mkuu yule dc mndengereko mama wa mipasho aka 5 ashahamishwa wilaya au bado mnapambana naye?
 
Niko simiyu, kafulila Yuko vizuri sana , Ni mtu ambaye ni mchapa kazi , Hana majigambo Kama alivyokuwa mtangulizi wake Bwana mtaka chui aliyejificha kwenye ngozi ya Usabato.

Hongera sana kafulila, uko vizuri sana my brother from another mother!
Usabato unaingiaje hapo?
 
Back
Top Bottom