Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Labda mimi ndo mshamba!Mmhhh!!! Sasa hapo lugha chafu iko wap kwan kuna nini hapo kasongea kipya?😂😂
Huyo mwanamke na yeye kwa nini akae na mwanaume huyu miezi Sita?Ngoja nimsaidie kukuporomoshea matusi mwanaume wewe Malaya mkubwa usiye na haya unakaa na mtoto wa kike wa mtu miezi sita bila kuonyesha nia ya kuoa au kupeleka Posa Kwa wazazi wake mzinzi mkubwa wewe
Nampongeza sana huyo Mwanamke kukuacha Sema mimi dictionary ya matusi Iko mbali Ingekuwa karibu ningekushushia matusi ya nguoni wewe mleta mada Hadi ukome
Huyu dada nimekuwa naye kama miezi 6 sasa. Siku zote alikuwa mstaarabu sana.... Siku za karibuni nlianza tu kuona nakosa hisia kwake. Sababu mahitaji yake yalikuwa yanazidi kila siku.
Leo ameamua kuniacha. Kaniacha katika kipindi ambacho namwitaji sana kutokana na hizi mvua na hali ya hewa.
View attachment 2878487View attachment 2878489View attachment 2878490View attachment 2878491
Ndo maana nilikuwa nashukuru.Dah umeachwa na nyonya damu hilo
Huyu ni mbwa kweli kweli... Mshahara wake anataka awe anakula bata akiishiwa mimi nimfadhili. Mwaka huu Sihongi.Eti usinipigie hesabu mshahara wangu. Kmmk
Bwege yule dada... Wote tulikuwa tuna enjoy.... Sasa yeye anataka malipo.Poleni nyote wewe na huyo dada, ila utakuwa umemfanya sana ndio maana kila muda anakulaumu kwa hilo.
Hawezi dumu nami. Sitompa pesa.Kwa hizo chats hamjaachana na hamuwezi kuachana🤣
We si unajiita chizi ndo universe imekuletea chizi mwenzio.....hizo ni karaha tu ndogo ndogo na za kawaida kwenye mapenzi.
NImefurahi sana. Sema nimewaambia hivyo watu wafurahi kuwa chizi kaachwa.Ulikuwa una date kuli wa bandarini nini? Demu ana lugha mbovu balaa.
Ila mbona ni kama wewe ndio umemuacha. Na kwa design ya mwanamke mwenyewe mbona ni kama ulitakiwa ufurahi kutuana na hilo zigo la dhiki.
Mimi nampongeza zaidi kwa kuniacha. Nimeshukuru.Ngoja nimsaidie kukuporomoshea matusi mwanaume wewe Malaya mkubwa usiye na haya unakaa na mtoto wa kike wa mtu miezi sita bila kuonyesha nia ya kuoa au kupeleka Posa Kwa wazazi wake mzinzi mkubwa wewe
Nampongeza sana huyo Mwanamke kukuacha Sema mimi dictionary ya matusi Iko mbali Ingekuwa karibu ningekushushia matusi ya nguoni wewe mleta mada Hadi ukome
🤣🙌Unabaki kusema nashukuru, kwani ulikuwa unabarikiwa?
Kutwa kujidai kidume humu jukwaani, kutunishiana misuli na wanajukwaa. Ila huko nje umelegea ka mlenda pori.
🤣🤣aisee hadi nimelia 😿😢😿