Mwaka umeanza vibaya, Mwanamke ameniacha, Haina shida nashukuru Mungu tu

Mwaka umeanza vibaya, Mwanamke ameniacha, Haina shida nashukuru Mungu tu

🤣🤣🤣 Au ndo maana anaona huu ndo wakati wa kuanza kunikamua? Nimebadili sera za uwekezaji. Huyu dada nlimpa sana pesa. Sasa sera zimebadilika.
Ila umenichekesha unavyosema “Thank you 🙏” halafu wifi anakwambia “Kam thank you mama ako, mwanaume sio kut*mba tyuu… ujue na kuhudumia””
Nimecheka sana’aaa 🤣🤣🤣🤣
 
Huyu dada nimekuwa naye kama miezi 6 sasa. Siku zote alikuwa mstaarabu sana.... Siku za karibuni nlianza tu kuona nakosa hisia kwake. Sababu mahitaji yake yalikuwa yanazidi kila siku.

Leo ameamua kuniacha. Kaniacha katika kipindi ambacho namwitaji sana kutokana na hizi mvua na hali ya hewa.
View attachment 2878487View attachment 2878489View attachment 2878490View attachment 2878491
Nyani katemba bungo 😂😂😂 ila mwenye nyani anakomaa hataki bungo litemwe...Kazi kweli kweli 😀
 
Mtavurugwa kinoma. Ila wala hajakuacha bali anakutishia. Ila kama ana-gut ya kukutukana hivyo we mshukuru Mungu tu maana hicho kikombe hukiwezi. Ila broo na wewe acha zongwa, wengine wamehonga gari, we mafuta tu yanakushinda?
😂😂😂😂😂😂😂😂 mtt kuba smoke kweli ww
 
Tatizo mijanajike ya kibongo wanatumia nyuchi zao kama mtaji na kuona kufanya nao mapenzi ni huduma kubwa sana wamekufanyia ambayo unapaswa uilipie.

Kibongo bongo mwanamke kutongozwa anahisi kama matatizo yake yote yameisha na ndio fursa ya kutafuta matatizo mapya.
Fursa ya kutatuliwa matatizo yake ndio inakuwa imemjia 😂😂😂 mashine ya hela na ukijitia bahili unaoga mitusi kama hiyo
 
Hivi mnafanyafanyaje mpaka wanawake wanawaacha?

Sisi wengine mpaka tunawakinai tunatamani watuache lakini wametung'ang'ania tu kama Super Glue hawataki kutuacha.
Acha kutoa zile dola 100/100 uone kama kuna atakae baki. The best way to be left with Tanzanian women is to pretend to be broke.
 
Back
Top Bottom