Mwaka umeanza vibaya, Mwanamke ameniacha, Haina shida nashukuru Mungu tu

Inaonekana ulikuwa unampa kazi mlima kitonga posho unaacha kichuguu.

Chuma inapiga Trip Dar-Bukoba iende irudi milleage zimesoma utaki kufanya services ya maana.
Km 2000 plus afu service yenyewe tia maji ndinga lazima ikae juu ya mawe.
 
Wewe ni kama dulla makabila kwa zaylissa anayehongwa magari na pesa na manara.

Ila hiyo statement yake ya mwisho kuwa nayo makini...alivyokeambia kuwa lazima amjue huyo malaya wako na hayajaisha".

Tambua wanawake ni watu wa visasi sana yuko radhi akakuharibie maisha yako kwa waganga ili nafsi yake ifurahi. Jiandae kwa lolote kuanzia sasa hiyo ni vita umeinunua na kingine nilichogundua ni kuwa licha ya kuwa mbahili kumpa pesa huyo demu bado ulikuwa ukimt.omba vilivyo kiasi ni ngumu kwake kuachana na ww kirahisi ,so ujiandae kwa vita kali mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…