Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Iwe heri sana kwako Brother Analyse . Asante sana
Leo ndio nimejua siri ya profile picture yako.

May 2023 be that year you've been longing for, the year to remember.
 
Asante kwa niaba yao.
 
Mkuu, ina maana my love wangu Cillah hajawahi kuwa rafiki yako hadi usimtaje? Halafu shem langu Makiwendo yeye ukamsahau...rudia kutaja watu wako wa nguvu, hii post ni batili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie Watu wawili nyie..

Amenitaja bhana...
Heri ya Christmas na Mwaka Mpya My forever Shem..
 
Thanks braza..merry xmass kipanga wangu.
 
CHINUA ACHEBE AMEANDIKA KATIKA RIWAYA YAKE YA "THINGS FALL APART" KWAMBA.
Mtu anayewaalika Jamaa zake kwenye sherehe hafanyi hivyo kwa ajili ya kuwaokoa kwa sababu ya njaa. Waalikwa wote wana vyakula majumbani kwao.
Tunapokusanyika usiku wa mbalamwezi katika ardhi ya kijiji chetu, siyo kwa sababu ya Mbalamwezi.
Kila mmoja angeweza kuiona mbalamwezi akiwa nyumbani kwake.
Tunakusanyika kwasababu ni jambo zuri kwa Jamaa kukusanyika pamoja.

Kwa hiyo tuendelee na umoja wetu ili tufurahie nguvu ya kuwa pamoja.
Tukitabasamu haimaanishi kwamba hatuna matatizo isipokuwa kwasababu tuna nguvu ya kuyashinda matatizo.

Peke yako unaweza kutabasamu lakini mkiwa pamoja mnaweza kucheka.
Ukiwa peke yako unaweza kufurahi lakini mkiwa wengi mnaweza kusherehekea.
Ukiwa peke yako unaweza kutamka lakini mkiwa pamoja mnaweza kuongea.

Tuendeleze mambo ambayo yanaweza kutuunganisha pamoja kuliko mambo ambayo yatasababishaj kutengana[emoji1431].

Nawatakia mema ya Christmas na mwaka mpya 2023. [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji1376][emoji1376][emoji1376]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…