Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Nilikuachia Patience, hapa nimewekeza bro mali, nguvu zangu nyingi zimepotelea humu na akili🤣🤣
🙆🙆🙆🙆🙆🙆
 
Salam ziwafikie Hawa kwa leo....
1. Nyamizi mwanaharakati mwenzangu mpambanaji kabisa katika kumuibisha Putin...Slava Ukraine

2. ERoni Glenn napenda busara zenu ,wifi zetu Wana bahati kuwa nanyi

3. Analyse wewe uliniteka tangu nilivyosoma "This is Analyse"niseme tu una kitu za ziada kichwani,

4. mzabzab wewe Ni peponi Firdaus moja kwa moja,maana jitihada zako zimeoneka hapa duniani,hakika unatumia vyema theory ya Use and disuse of organ...

5. Nakadori To yeye Unique Flower nyinyi Ni watu special Sana,hamnaga kufakefake,,mko Real Sana natamani kuwaona

6. mpwayungu village NAKUPENDA tu,wewe na nyuzi zako zoote[emoji23]

7. rikiboy Aisee tukiachana na Masikhara yako kwa jicho la tatu uko tofauti Sana, comment zako Zina akili Sana

8. DeepPond unachangamsha Sana jamvi na Visa vyako na mama J,muishi sana

9. Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr mna heshima zangu nyingi Sana.

10. Extrovert mzee wa ban,jitahidi mwakani tusipigwe ban

I wish you a Merry Xmas and Prosperous new year,mmekuwa na mchango mkubwa Sana kwenye afya yangu ya akili bila nyinyi kujua,kila nilipohitaji tabasamu na kutoka kwenye mawazo ya tozo niliwatafuta ninyi,na Hamkuniangusha,....Mungu awalinde ili mwakani tuendeleze gurudumu kwa pamoja
[emoji173][emoji1545][emoji817] Joanah
 
Mshana Jr huna baya na mtu mkuu nakubali sana sana, sema siwezi kukuamini uwe karibu na Chakorii hata sekunde🤣🤣
Mungu akujalie mema mkuu
 
Carleen nakuonaga mpole kweli...hope uko ivo cute[emoji173].... Joannah mtulivu mpaka comments zako zinajionyesha[emoji16]
cocastic I know u know that nakufuatafuata sana[emoji134]usinidunde tu but coz I like you cute[emoji173]
X-mass njema kwenu wapendwa...ishini sana friends
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear mie cna bayaaa, nimenyooka km rulaaaa.
Ahsanteeeee sanaaa, nawe pia xmass njema. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninawatakia heri na baraka wana chitchat wote.
Mungu awabariki sana na naomba niwataje wachache ambao tumekua tukitaniana hapa na pale;

1. Kamanda ERoni Ninakukubali sana bro.
Yapata miaka 6 sasa tukitaniana hapa na hapa hasa kale ka utani ketu ka hapa na pale juu ya wale viumbe[emoji23]

2. Nakadori DeepPond , mzabzab
sophy27 Clarra Antonnia
To yeye Kalpana Rumaiya Depal Lenie Tinsley cocastic goroko77 Evelyn Salt Unique Flower National Anthem na wengine
wengi...ninawatakia kila la heri mnapoumaliza mwaka
Ahsanteeeee na ubarikiweee [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom