Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Pamoja sana mkuu. Uwepo wako ni muhimu kwenye hizi forums zetu. Stay safe broh 👊Mamndenyi ..nimejifunza vingi kutoka kwako
Analyse na ma legend wengine wote nashindwa kuwatag
mzabzab , To yeye comment zenu hunifurahisha haswa kwenye mada za mahusiano na mapenzi
Kongole kwa rikiboy pia uzi wako umekua Isidingo
Nichukie nafasi kuwapongeza Mlifanikisha kuoa pongezi sana kwa maamuzi magumu,
Marry Christmas in advance..