Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Nyuzi kama hizi huwa nazikwepa sana kuzisoma,unaweza kujiona ni mkiwa
ISikusumbue mkuu huku watu kama vivuli tu hivyo chukulia poa.
Watu wanabebishana kwa mwandiko na hawajuani
 
Mkuu sana Satoh Hirosh
Sina la kujivunia kuhusu hili.
Nimejikuta tu kuwa mimi ni rafiki mkubwa sana wa hii jinsia tokea utotoni.

Ninatengeneza marafiki kila niendako.
Katika maisha hilisi ndivyo ilivyo.
Kuna watu huwa wanahisi mimi ni mpenda chini lkn 97% si kweli ni pure urafiki usio wa kimahusiano.

Nikiwa hata church hukimbiliwa na vitoto vya kike wasiopungua 20 to 30 kila mmoja anatamani kunishika mkono nami nawapenda sana watoto wa kike kuanzia wadogo hadi wamama wazee.

Nimejaa huruma kwao tu bila sababu mkuu wangu.

Hapa jf kuna wasichana kadhaa waliwahi kunitusi pm[emoji23][emoji23][emoji23] kuwa why niko na ke wengi...bila kujua yanaishiaga hapa tu jukwaani.

Wengi wameanza kunielewa kuwa ndivyo nilivyo na hakuna kilichojificha.
Samahani kwa maelezo marefu

Hii hali iliwahi kunikera mara nyingi lkn sasa naiona kawaida mkuu.

Kidimbwi mmh huwa sio mpenzi.
Nitakupeleka UPEPO GARDEN kwa gharama zangu mkuu
Mi mwenyewe nakubali koh koh[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom