Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Anhaa... mimi mkubwa nimeshaelewa...Ohooo…..Asante G😘😘😘Maskini…Mungu akitubariki mia moja basi tunaivunja katikati tunakula na wengine.
Kuna kitu nimeona nikipitie hapa Kwa mara nyingine nikagundua unahuruma na utu ndani yako.
Mungu akutunze Kwa ajili yetu Glenn.
Hata mimi I wish nikuone ninaamini ipo siku tutaonana gafla sana.
Nikikupa taarifa ya kuonana ninaimani utavaa vizuri😂unukie Sijui upendeze…hapa hizo mambo sizitaki..napenda kumuona Glenn akiwa halisi..
Mzee wa S C😁😁if you know you know 😉
Basi sawa