Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Ninawatakia heri na baraka wana chitchat wote.
Mungu awabariki sana na naomba niwataje wachache ambao tumekua tukitaniana hapa na pale;

1. Kamanda ERoni Ninakukubali sana bro.
Yapata miaka 6 sasa tukitaniana hapa ma hapq hasa kale ka utani ketu ka hapa na pale juu ya wale viumbe😂

2. DeepPond , mzabzab
sophy27 Clarra Antonnia
To yeye Kalpana Rumaiya Depal Lenie Tinsley cocastic goroko77 Evelyn Salt Unique Flower na wengine
wengi...ninawatakia kila la heri mnapoumaliza mwaka
Wewe mtu mie wa mwisho umewapanga kiumri au kisifa au kinini mutu wa pande zile ??
 
Kuna hawa viumbe muhimu sana sana
Chakorii
Una moyo mzuri sana mrembo, Mungu akutendee mema

Joannah sina mengi ya kusema..Mungu anaujua moyo wako.
Baraka za Mungu zikufuate kila uendako dada mzuri😂😘😘

I wish siku moja niwaone

Extrovert ...wewe ni bonge la mshikaji, barikiwa sana katika mambo yako.

Kelsea ....sitakusahau kamwe, uliwahi kuwa mwema kwangu, hujui ninavyokuheshimu kwa muda wako na ulivyofanyika baraka kwangu.
Nakutakia maisha mema huko uliko😍

bro Shimba ya Buyenze
Umekuwa mtu wangu wa nguvu yapata miaka kadhaa na undugu wetu umeendelea kukua siku hadi siku.
Nakutakia mema mkuu unapouanza mwaka mpya 2023
 
Kuna hawa viumbe muhimu sana sana
Chakorii
Una moyo mzuri sana mrembo, Mungu akutendee mema

Joannah sina mengi ya kusema..Mungu anaujua moyo wako.
Baraka za Mungu zikufuate kila uendako dada mzuri😂😘😘

I wish siku moja niwaone

Extrovert ...wewe ni bonge la mshikaji, barikiwa sana katika mambo yako.

Kelsea ....sitakusahau kamwe, uliwahi kuwa mwema kwangu, hujui ninavyokuheshimu kwa muda wako na ulivyofanyika baraka kwangu.
Nakutakia maisha mema huko uliko😍
Ole wako uwataje mademu zangu....
 
Asante G...endelea kuwa Kaka wa mfano.❤️
 
Namwambia jamaa yangu secret file aachane na kujenga manyumba mengi ya chini. Ni wakati wake wa kujenga ghorofa
 
Back
Top Bottom