Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Sitaki lawama sophy27 nimekutafuta hadi mbaya uwe na wakati mwema my dear kwenye sikukuu hizi na ERoni akikutoa out shogaa ukirudi ni inbox tumeomba Sala zote uende naye xmass .

Chimammy wetu g9t kipenzi
 
Carleen
Wewe ni ndugu na rafiki yangu.
Hivyo ni wa kufa na kuzikana.
Nikikusea urafiki unaweza kuyumba lakini kamwe undugu wetu utabaki pale pale.

Ninakuelewa sana na hili unalijua kwa hakika.
Tunapoumaliza mwaka, ninakutakia kila lililojema kwako kipenzi changu😍😍😍
 
Ninawatakia heri na baraka wana chitchat wote.
Mungu awabariki sana na naomba niwataje wachache ambao tumekua tukitaniana hapa na pale;

1. Kamanda ERoni Ninakukubali sana bro.
Yapata miaka 6 sasa tukitaniana hapa na hapa hasa kale ka utani ketu ka hapa na pale juu ya wale viumbe😂

2. Nakadori DeepPond , mzabzab
sophy27 Clarra Antonnia
To yeye Kalpana Rumaiya Depal Lenie Tinsley cocastic goroko77 Evelyn Salt Unique Flower National Anthem na wengine
wengi...ninawatakia kila la heri mnapoumaliza mwaka
 
Ninawatakia heri na baraka wana chitchat wote.
Mungu awabariki sana na naomba niwataje wachache ambao tumekua tukitaniana hapa ma pale;

1. Kamanda ERoni Ninakukubali sana bro.
Yapata miaka 6 sasa tukitaniana hapa ma hapq hasa kale ka utani ketu ka hapq na pale juu ya wale voumbe😂

2. DeepPond , mzabzab
sophy27 Clarra Antonnia
To yeye Kalpana Rumaiya Depal Lenie Tinsley cocastic goroko77 na wengine
wengi...ninawatakia kila la heri mnapoumaliza mwaka
Asante sana brother Glenn na sisi pia tunakutakia heri na baraka tele
 
Wapendanao Hao...Wakitagiana na kupeana maneno kedekede [emoji4]
 
Back
Top Bottom