Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio ukweliMakubwa😳
Sawa mkuuHuo ndio ukweli
Ukizubaa na wewe anakugeuza bibi fasta😂😂😂😂Babu jamani tutakuwa na wabibi wangapi?
Mpaka pale mai dia mjukuu atakaponiambia.... SASA YATOSHA😂😂😂Babu jamani tutakuwa na wabibi wangapi?
Asante flower, tunakupenda pia.Mie nawapenda sana wanajf wote ila sintosahau kipenzi changu Joannah kipenzi changu Doctor G kama zote na pia wale madada wote wanajichukua , wanaojipenda Depal Lenie @sophie27
Vipenzi vyangu vingine Glenn Cillah ERoni DeepPond mzabzab kichaa wanguna handsome wangu wanguvu nimtakerekwa sana tu. Na wotee waliokuwa wakarimu kwangu na bila kumsahau kazee kapendwa kanaringaga balaa yani Mr Asprin Equation x ni msweety wangu
Jamani kazuri kangu thank you so so much girlie...!!❣️❣️
😂😂😂😂 hakika babu SASA YATOSHA... Unique Flower hapendagi ujinga atakunyoosha,Tena kikao kitawekwa hapa jamvini mbele ya wajukuu zako tutaficha wapi sura zetu sisi,chonde chonde babu tuhurumie sie🙏Mpaka pale mai dia mjukuu atakaponiambia.... SASA YATOSHA
Hivi sasa nalitaka file la Unique Flower . Fanya hima mai dia mjukuu
😂😂😂😂Eeeeh huyu babu anakula Nini kwani?au ndio hazeeki maini?Ukizubaa na wewe anakugeuza bibi fasta😂
Nampenda mwenzio
Salam ziwafikie Hawa kwa leo....
1. Nyamizi mwanaharakati mwenzangu mpambanaji kabisa katika kumuibisha Putin...Slava Ukraine
2. ERoni Glenn napenda busara zenu ,wifi zetu Wana bahati kuwa nanyi
3. Analyse wewe uliniteka tangu nilivyosoma "This is Analyse"niseme tu una kitu za ziada kichwani,
4. mzabzab wewe Ni peponi Firdaus moja kwa moja,maana jitihada zako zimeoneka hapa duniani,hakika unatumia vyema theory ya Use and disuse of organ...
5. Nakadori To yeye Unique Flower nyinyi Ni watu special Sana,hamnaga kufakefake,,mko Real Sana natamani kuwaona
6. mpwayungu village NAKUPENDA tu,wewe na nyuzi zako zoote😂
7. rikiboy Aisee tukiachana na Masikhara yako kwa jicho la tatu uko tofauti Sana, comment zako Zina akili Sana
8. DeepPond unachangamsha Sana jamvi na Visa vyako na mama J,muishi sana
9. Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr mna heshima zangu nyingi Sana.
10. Extrovert mzee wa ban,jitahidi mwakani tusipigwe ban
I wish you a Merry Xmas and Prosperous new year,mmekuwa na mchango mkubwa Sana kwenye afya yangu ya akili bila nyinyi kujua,kila nilipohitaji tabasamu na kutoka kwenye mawazo ya tozo niliwatafuta ninyi,na Hamkuniangusha,....Mungu awalinde ili mwakani tuendeleze gurudumu kwa pamoja
Makopa mengi.