To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Pamoja sana mkuu...ishi sana❤Mimi huwa sichepuki. Ni shetani tu huwa ananizidi nguvu.
Nawe pia nakutakia kheri ya sikukuu zote za mwaka huu na mwaka ujao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana mkuu...ishi sana❤Mimi huwa sichepuki. Ni shetani tu huwa ananizidi nguvu.
Nawe pia nakutakia kheri ya sikukuu zote za mwaka huu na mwaka ujao
Afu wewe bado uneitunza bikira yako kama ulivyoniahidi. Mahari tamu kuliko bia ujueHeee dada tulikuringia wapi 🤣🤣🤣
Happy New year in adv
Ukawe mwaka wa Kheri dear
"Mkuu" tena? mimi ni babu bhana.Pamoja sana mkuu...ishi sana❤
Kwani unalitumiaje tako mzee kwenye maisha?.Nataka kuwaambia wote kuwa mwakani kuteseka kupo pale pale kama tusipokaza mataco
Darling babuAfu wewe bado uneitunza bikira yako kama ulivyoniahidi. Mahari tamu kuliko bia ujue
Usisahau makubaliano yetu, bikira naikagua mwenyewe ili nipange mahari vizuri
Ha haaa Asante my super friend,mzee wa kuchafua Hali ya hewa,Mimi Kama Joannah NAKUPENDA sanaMie nawapenda sana wanajf wote ila sintosahau kipenzi changu Joannah kipenzi changu Doctor G kama zote na pia wale madada wote wanajisikia wakiwemo Depal Lenie @sophie27
Vipenzi vyangu vingine Glenn Cillah ERoni DeepPond mzabzab kichaa wanguna handsome wangu wanguvu nmtakerekwa na wotee waliokuwa wakarimu kwangu na bila kumsahau kazee kapendwa kanarikinga Asprin Equation x ni msweety wangu
😂😂😂😂Dah analitumiaje Tena?Kwani unalitumiaje tako mzee kwenye maisha?.
Mimi naitumia akili kunilisha na maendeleo
Usijali, bibi atabaki sebuleni wakati nakukagua.Darling babu
Shetani hana nafasi hapa
Bikira zote zipo 🤣🤣
Ila hapo kwenye kukagua we peke ako sijui 🤣🤣 labda uje na bibi
Adi mimi🤣🤣🤣Nimeshtuka sanaa 🤣🤣🤣
Nisaidie kuelewa kuwa taco linahusu vipi uchumi?😂😂😂😂Dah analitumiaje Tena?
😂😂😂😂😂Uchumi wa Kati,labda masharti ya mikopo kutoka kwa Joe BidenNisaidie kuelewa kuwa taco linahusu vipi uchumi?
Acha ujinga dogo. Kila mtu ana kazi yake. Usihoji kazi za wenzioNisaidie kuelewa kuwa taco linahusu vipi uchumi?
😂nahisi kuna neno unataka niliweka hapo🙉"Mkuu" tena? mimi ni babu bhana.
Mdogomdogo unaanza kupata akili za ukubwa😂nahisi kuna neno unataka niliweka hapo🙉
Hutakii??Adi mimi🤣🤣🤣