Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Mie nawapenda sana wanajf wote ila sintosahau kipenzi changu Joannah kipenzi changu Doctor G kama zote na pia wale madada wote wanajichukua , wanaojipenda Depal Lenie @sophie27
Vipenzi vyangu vingine Glenn Cillah ERoni DeepPond mzabzab kichaa wanguna handsome wangu wanguvu nimtakerekwa sana tu. Na wotee waliokuwa wakarimu kwangu na bila kumsahau kazee kapendwa kanaringaga balaa yani Mr Asprin Equation x ni msweety wangu
 
Mie nawapenda sana wanajf wote ila sintosahau kipenzi changu Joannah kipenzi changu Doctor G kama zote na pia wale madada wote wanajisikia wakiwemo Depal Lenie @sophie27
Vipenzi vyangu vingine Glenn Cillah ERoni DeepPond mzabzab kichaa wanguna handsome wangu wanguvu nmtakerekwa na wotee waliokuwa wakarimu kwangu na bila kumsahau kazee kapendwa kanakinga Asprin Equation x ni msweety wangu
We kibungo Depal kumbe tunajisikia na hukuwahi kuniambia😂

Nakupenda pia Unique Flower
Unanipaga tu raha na nyuzi zako
 
Mie nawapenda sana wanajf wote ila sintosahau kipenzi changu Joannah kipenzi changu Doctor G kama zote na pia wale madada wote wanajisikia wakiwemo Depal Lenie @sophie27
Vipenzi vyangu vingine Glenn Cillah ERoni DeepPond mzabzab kichaa wanguna handsome wangu wanguvu nmtakerekwa na wotee waliokuwa wakarimu kwangu na bila kumsahau kazee kapendwa kanakinga Asprin Equation x ni msweety wangu
Hatimaye nimekumbukwa. Na nilivyo mjanja nimeshaisevu hii post maana huchelewi kui-edit ukanidiliti.

Kuanzia leo nimekuweka kwenye list ya wajukuu wangu pendwa...

Jiandae
 
Asprin ...asante kwa upendo wa agape....
Nakutakia kheri njema ya x-mass rafiki.usichepuke bas,subiri uvuke mwaka kwanza ndo uendeleze dimba
 
Mie nawapenda sana wanajf wote ila sintosahau kipenzi changu Joannah kipenzi changu Doctor G kama zote na pia wale madada wote wanajisikia wakiwemo Depal Lenie @sophie27
Vipenzi vyangu vingine Glenn Cillah ERoni DeepPond mzabzab kichaa wanguna handsome wangu wanguvu nmtakerekwa na wotee waliokuwa wakarimu kwangu na bila kumsahau kazee kapendwa kanarikinga Asprin Equation x ni msweety wangu
Heee dada tulikuringia wapi 🤣🤣🤣

Happy New year in adv
Ukawe mwaka wa Kheri dear
 
Asprin ...asante kwa upendo wa agape....
Nakutakia kheri njema ya x-mass rafiki.usichepuke bas,subiri uvuke mwaka kwanza ndo uendeleze dimba
Mimi huwa sichepuki. Ni shetani tu huwa ananizidi nguvu.

Nawe pia nakutakia kheri ya sikukuu zote za mwaka huu na mwaka ujao
 
Unique Flower ....
You are truly unique cute...ukianzisha thread wakianza kukupopoa nawe waenda nao sambamba.Una msimamo sana😂😂😂🙋 ...sana mom.
X-mass njema rafiki
 
Back
Top Bottom