Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nakutakia kila kheri kwako mkuuMtukumbuke na sisi tuliosusa Ku comment na ku like kwa miaka,hatujafa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakutakia kila kheri kwako mkuuMtukumbuke na sisi tuliosusa Ku comment na ku like kwa miaka,hatujafa..
Heri ya mwaka mpya sophy, sisi tutasherehekea ule wa kwetu ukifika(japo utanikumbusha, sikumbuki lini unaisha 🤣🤣)😂😂😂😂
[emoji1787] jamani, mengne tutaongea chobingo. Eroni wewe bado nakuandalia gazeti lakoRafiki hii haitoshi, maisha mema ndio kitu gani? lakini ukimuwish mdogo wangu Glenn usinisahau jamani[emoji1787]
Ostadh 😂😀😀usijali kabisa tuanze kuwasindikiza kwanza nduguzetu kwenye mwaka wao mpyaHeri ya mwaka mpya sophy, sisi tutasherehekea ule wa kwetu ukifika(japo utanikumbusha, sikumbuki lini unaisha 🤣🤣)
Halafu tuwaambie waache tabia mbaya kutukosanisha🤣🤣
Itatokea kwenye mifereji ya damuBp itoke wapi hiyo aaah hapana.
Ninakukumbuka Forest Hill😘😘Mtukumbuke na sisi tuliosusa Ku comment na ku like kwa miaka,hatujafa..
Ostadh wa mchongo🤣Heri ya mwaka mpya sophy, sisi tutasherehekea ule wa kwetu ukifika(japo utanikumbusha, sikumbuki lini unaisha 🤣🤣)
Halafu tuwaambie waache tabia mbaya kutukosanisha🤣🤣
Hakunaga hiyoItatokea kwenye mifereji ya damu
Haya bhana..kikubwa uhaiHakunaga hiyo
Asante sana KAKA wa Mie....Maria Nyedetse mungu azidi kukupa afya na ngivu
Nakubali sana askari wangu. Mungu atupe afya na miaka zaidiKuna hawa viumbe muhimu sana sana
Chakorii
Una moyo mzuri sana mrembo, Mungu akutendee mema
Joannah sina mengi ya kusema..Mungu anaujua moyo wako.
Baraka za Mungu zikufuate kila uendako dada mzuri😂😘😘
I wish siku moja niwaone
Extrovert ...wewe ni bonge la mshikaji, barikiwa sana katika mambo yako.
Kelsea ....sitakusahau kamwe, uliwahi kuwa mwema kwangu, hujui ninavyokuheshimu kwa muda wako na ulivyofanyika baraka kwangu.
Nakutakia maisha mema huko uliko😍
bro Shimba ya Buyenze
Umekuwa mtu wangu wa nguvu yapata miaka kadhaa na undugu wetu umeendelea kukua siku hadi siku.
Nakutakia mema mkuu unapouanza mwaka mpya 2023