Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Mamndenyi ..nimejifunza vingi kutoka kwako
Analyse na ma legend wengine wote nashindwa kuwatag


mzabzab , To yeye comment zenu hunifurahisha haswa kwenye mada za mahusiano na mapenzi

Kongole kwa rikiboy pia uzi wako umekua Isidingo

Nichukie nafasi kuwapongeza Mlifanikisha kuoa pongezi sana kwa maamuzi magumu,
Marry Christmas in advance..
Pamoja sana mkuu. Uwepo wako ni muhimu kwenye hizi forums zetu. Stay safe broh 👊
 
Rabbon,Mtu pekee aliefanya niione Tanzania kipekee Sana tofauti na mwanzo!

Mtazamo wa kinabii wenye kufikirisha Sana!

Namuombea aendelee kuchochea karama yake!
 
mzabzab
Mzee wa kupambania
DeepPond

Nyie kaka zangu nawapenda , nawatakieni kila la kheri maisha marefu kwenu[emoji179]

Mzabzab uoe sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia wewe nitaoa mwaka 2013 maana hapa kuna kamrembo kamenikamata ila kanafuna pesa zangu tuu na mbususu hakatoi sasa kukatisha story ni kukaoa tuu hamna jinsi.

Na wewe uolewe sio andunje analamba asali tuu bila kukuweka ndani
 
bato - stay blessed mkuu

Herbalist Dr MziziMkavu - Dr uwepo wako humu ni hazina, nakutakia afya njema, 2023 ukawe mwaka wa heri sana kwetu wote

Mentor - mkuu , legend, master natambua uwepo wako humu, japo upo slow kuengage na mada siku hizi

Tized - nakukubali sana kaka mkubwa, ulinivuta kujoin humu.

Kizzy Wizzy - umekuwa mvivu kushiriki sana mijadala, ila natambua uwepo wako

The Boss - Mr. interesting nakutakia heri 2023
 
Kwahyo hamtaki kuniambia chochote 92 jerrie nipo hapa kama mkiwa😭 ila mimi kuna bi dada napenda nimtakie maandalizi mema ya sikukuu zawadi itamfikia PM
 
Jamani nifundisheni jinsi ya kutag watu humu kuna mwamba anaitwa Extrovert ananipa sana likes hana hiana asee
 
Tulia wewe nitaoa mwaka 2013 maana hapa kuna kamrembo kamenikamata ila kanafuna pesa zangu tuu na mbususu hakatoi sasa kukatisha story ni kukaoa tuu hamna jinsi.

Na wewe uolewe sio andunje analamba asali tuu bila kukuweka ndani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuombeane kheri mwakani mambo yakawe fresh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom