Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙆🙆🙆🙆🙆🙆Nilikuachia Patience, hapa nimewekeza bro mali, nguvu zangu nyingi zimepotelea humu na akili🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kumbafu zako na robo tatu.
@Rumaiya Namtakia Kheri na Mema Mengi sana kwa mwaka unaokuja Mungu amtunze sana huyu MwanamkeMwisho wa mwaka unakaribia Sasa sijui ninani unataka kumwambia Nini mie nawatakia sikukuu njema wanajf wote
[emoji173][emoji1545][emoji817] JoanahSalam ziwafikie Hawa kwa leo....
1. Nyamizi mwanaharakati mwenzangu mpambanaji kabisa katika kumuibisha Putin...Slava Ukraine
2. ERoni Glenn napenda busara zenu ,wifi zetu Wana bahati kuwa nanyi
3. Analyse wewe uliniteka tangu nilivyosoma "This is Analyse"niseme tu una kitu za ziada kichwani,
4. mzabzab wewe Ni peponi Firdaus moja kwa moja,maana jitihada zako zimeoneka hapa duniani,hakika unatumia vyema theory ya Use and disuse of organ...
5. Nakadori To yeye Unique Flower nyinyi Ni watu special Sana,hamnaga kufakefake,,mko Real Sana natamani kuwaona
6. mpwayungu village NAKUPENDA tu,wewe na nyuzi zako zoote[emoji23]
7. rikiboy Aisee tukiachana na Masikhara yako kwa jicho la tatu uko tofauti Sana, comment zako Zina akili Sana
8. DeepPond unachangamsha Sana jamvi na Visa vyako na mama J,muishi sana
9. Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr mna heshima zangu nyingi Sana.
10. Extrovert mzee wa ban,jitahidi mwakani tusipigwe ban
I wish you a Merry Xmas and Prosperous new year,mmekuwa na mchango mkubwa Sana kwenye afya yangu ya akili bila nyinyi kujua,kila nilipohitaji tabasamu na kutoka kwenye mawazo ya tozo niliwatafuta ninyi,na Hamkuniangusha,....Mungu awalinde ili mwakani tuendeleze gurudumu kwa pamoja
Ahsanteeeee sanaaa Dr G. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]To yeye Numbisa Extrovert Carleen Beesmom singanojr Joanah cocastic DeepPond Infantry Soldier Unique Flower Mshana Jr ROBERT HERIEL makaveli10 Kasie... heshima kwenu kwaniaba ya wanajamiiforums wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear mie cna bayaaa, nimenyooka km rulaaaa.
Nataka kumwambia GENTAMYCINE kuwa aache kujiona yeye ndo anajua kila kitu humu JFMwisho wa mwaka unakaribia Sasa sijui ninani unataka kumwambia Nini mie nawatakia sikukuu njema wanajf wote
Post yangu ukaikaushia ee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear mie cna bayaaa, nimenyooka km rulaaaa.
Ahsanteeeee sanaaa, nawe pia xmass njema. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsanteeeee na ubarikiweee [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Ninawatakia heri na baraka wana chitchat wote.
Mungu awabariki sana na naomba niwataje wachache ambao tumekua tukitaniana hapa na pale;
1. Kamanda ERoni Ninakukubali sana bro.
Yapata miaka 6 sasa tukitaniana hapa na hapa hasa kale ka utani ketu ka hapa na pale juu ya wale viumbe[emoji23]
2. Nakadori DeepPond , mzabzab
sophy27 Clarra Antonnia
To yeye Kalpana Rumaiya Depal Lenie Tinsley cocastic goroko77 Evelyn Salt Unique Flower National Anthem na wengine
wengi...ninawatakia kila la heri mnapoumaliza mwaka
Shemejiiiii!
Mekuhamuuu [emoji173][emoji3]Shemejiiiii!
Ahsanteeeeeeeeh sanaaa Jaxxiee, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji120][emoji120][emoji120]Jf ni kama familia najifunza vingi sanaa...
Smart911 mzee kuwaita watujuze,
Extrovert Bavaria @brondo BinSalum7 wa kupuliza
Carleen Joannah singanojr Joanah DeepPond Infantry Soldier@Unique Flower Mshana Jr HERIEL mawardat Depal
makaveli10 Kasie ERoni Asprin Da vincci Kiranga Watu8
And cocastic nakupenda sanaa