Mwaka unakaribia kuisha unamwambia nani nini?

Mwaka unakaribia kuisha unamwambia nani nini?

Kijana mbona unaupeleka mwaka mbio sana, ndiyo kwanza tuna wiki ya kwanza ya nusu mwaka.

Au vijana mna hesabu zingine mnajuwa wenyewe?
 

Attachments

  • images - 2023-08-07T215719.912.jpeg
    images - 2023-08-07T215719.912.jpeg
    28.9 KB · Views: 1
Mpaji Mungu nichukue fursa kujikumbusha mengi kwa kipindi hiki kilichobaki Cha kumaliza mwaka 2023 ila kwa uchache

Kusaka hela ndo lengo kuu iwe jua iwe mvua kivyovyote lazima niwe na hela Kwa njia halali

Kulinda afya kibaolojia, kiroho na vngn vyote

Kujiimarisha kiimani japo nasua sua lkn nijitahidi

Vingine sio lazima nivitaje hapa

Unique Flower Ubarikiwe kama una mdogo mwambie nasaka miamala kwa ajili yake
 
Back
Top Bottom