Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Una hoja usikilizwe hapa naemfahamu ni mwanzilishi wa huu mtandao ndugu Maxence Melo japo sijawahi kumuona live

Huwa napenda speech zake hasa maswala yanayohusu sheria , he is very bright and he know
 
Me nipo iringa natumia JF Tok 2017 nmekutana na wadau wa jf wanne
 
Kwa pumba ninazo type humu afu nijulikane wee thubutuuu!! Baba Paroko anavyowausia mabinti church waige tabia zangu!! Mbona nitatengwa na kanisa nikijulikana [emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi wakiniuliza khs JF nawauliza ndio vitu gani hivyo?!!
 
Hahaaa...niliona id ya mjomba wangu ..anajifanyaga mjanja..alikua anaomba ushauri mbona wanawake wanamkataa tatizo nini na pesa anazo...haaahaaz nlicheka kufa...sikuweza kuvumilia nikawa namtania adi amebadili id na ya sasa anaitumia kwenye kutangaza biashara zake humu .
 
Dah mzee wa njombe unaniangusha
 
Punguza umbea kidogo
 
Ofisini kwet kila mtu anatumia jamiiforums alakini wanaficha IDs zao ili mtu akikubalaza mtandaoni usimjue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…