Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Kutoka Arusha kijenge juu. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Unabisha nimwambie max aweke number yako public.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kifala
Hebu weka hapa chapu bila kuchelewa
 
Mwez uliopita nilikuwa kwenye kikao.., sasa wale wagen kuna mmoja ni mtu mzima around 50+++.., alikuwa akiperuz jf na mimi nko pembeni namkata jicho tu..
Asee humu unaweza bishana au mtukana mwenye umri sawa na wazazi
 
Back
Top Bottom