Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mi na dada yangu wote tunatumia JF na tupo nyumba moja. Kuna sometimes anadanganyaga kwenye comment yupo holiday Zanzibar, wakati yupo jikoni anakanda chapati za Asubuhi.

Sema maisha yanaenda. Na yeye kuna siri ananitunzia.

Kazini watu kibao nishazijua ID zao. Wanavyo comment na wao hauwezi wadhania. Sema ndio ivo.
 
Screenshot_20230624-152205_(1).png
otea hapo Nani na Nani wamesimama...? 😄😄😄😄 Watu wanaficha Hadi sura jamani.
 
Back
Top Bottom