Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Kabla ya kujiunga rasmi nilikua na browse as a GUEST miaka kama 4 hivi sabu nilkua naona naweza soma kila kitu na kuperuzi kila jukwaa muhimu isipokua kureply tu, kuna members huku toka miaka hiyo nasoma contents zao mpaka leo wamepotea aisee nyuzi zao za mwisho kuanzisha humu ni kati ya 2015-2016 na walikua vichwa sana sikuizi naona wamekua watazamaji na wasomaji tu...
 
Nilikutana na kama wawili tu mmoja ilikuwa ni saluni mwingine kwenye daladala. Wengi hawajui kama ni mtandao. Wanaishia tu kukwambia wamelike page insta na facebook.😂😂

Baadhi ya ndugu zangu wanatumia ila id ndio hatujuani.

Me huwa sijifichi ninapotumia wengi huishia tu kuniuliza hvi ni mtandao gani huo uko hvyo?
 
Marafiki zangu wote wanatumia JF, Ofisini pia washikaji wote niliwaingiza JF, Sio kitu cha siri, nikikaa kwenye madawati ya wenzangu sometime nakuta wamefungua JF Wanaburudika.
Ajabu hao washikaji uliowaingiza jeiefu saivi huenda hata Id zao zimeshakupotea, maana kila uchwao njemba zinakuja na Id mpya humu.
 
Back
Top Bottom