Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mkuu nikijiuliza maswali mengi sana aseee..Mimi binafsi nipo huru natumia popote na hata kazini Wana wakichabo wakikuta nachati wanauliza mtandao Gani nawaelekeza wanakuwa interested wanajiunga .
Hata mimi nipo huru..
Kuna baadhi ya mijadala humu nafatilia.
Napokua namuelekeza mtu yaani anaona me ni mfatiliaji sana kumbe code zote nachukua huku 🤓🤓😂😂😂😂

Na uzuri wa humu watu wanajua mambo na wanayachambua vilivyo
 
Hata mimi nipo huru..
Kuna baadhi ya mijadala humu nafatilia.
Napokua namuelekeza mtu yaani anaona me ni mfatiliaji sana kumbe code zote nachukua huku [emoji851][emoji851][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na uzuri wa humu watu wanajua mambo na wanayachambua vilivyo
Unauza Siri mkuu ..Mimi nondo nyingi Hadi za vita ya Urusi na Ukraine natoa humu
 
Back
Top Bottom