Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23]Upo wapi Kwan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Upo wapi Kwan
Mkuu nikijiuliza maswali mengi sana aseee..Mimi binafsi nipo huru natumia popote na hata kazini Wana wakichabo wakikuta nachati wanauliza mtandao Gani nawaelekeza wanakuwa interested wanajiunga .Saa anaogopa nini..
Wakati unapokua unatumia hata mtu wa pembeni ni ngumu kujua ID yako
Ila kweli..humu kujuana ni mwiko
Dah mkuu sijui Dingi aliwaza niniAlikujua wew2 mbea
🤣🤣🤣🤣Ahahahahah hayo maneno unaongea humu..
Ndo nyie. Mkibanwa mnalia adi kamasi linawatoka 🤓🤓🤓🤓🤓🤓
hilo unaweza kulikwepa kwa kuwa na id nyingiIla kweli..
Sema ukiwa mtu wa kuyatafuta lazima utayapata..
Kama ukiwa normal sizani kama itakua na shida sana
Mkuu Tulia tena uicheki ni bonge la muvi haichoshi .Mkuu iyo avatar picha Yako inanogopesha kwasababu ya iyo movie ya mazombie. Iyo movie sitaki tena kuangalia na sikuimaliza. Hadi leo naogopaga kulala peke yangu usiku
Hata mimi nipo huru..Mkuu nikijiuliza maswali mengi sana aseee..Mimi binafsi nipo huru natumia popote na hata kazini Wana wakichabo wakikuta nachati wanauliza mtandao Gani nawaelekeza wanakuwa interested wanajiunga .
Mimi huwa sijifich na nahisi kuna majamaaa humu inanijua nikiwa kwenye daladala natumia jf kwa uwaz nikiwa kwenye starehe ndio usisem kuna siku niliona jamaa ananichora sana nilikuwa jf wala sikujaliDah mkuu sijui Dingi aliwaza nini
😂😂😂😂😂 Yaani dahhilo unaweza kulikwepa kwa kuwa na id nyingi
Ipo hivyo mkuu ukiwa JF mtu aone anakuzingatia sana .Mimi huwa sijifich na nahisi kuna majamaaa humu inanijua nikiwa kwenye daladala natumia jf kwa uwaz nikiwa kwenye starehe ndio usisem kuna siku niliona jamaa ananichora sana nilikuwa jf wala sikujali
Kwenye daladala hata mii nafanyaga hiyo..Mimi huwa sijifich na nahisi kuna majamaaa humu inanijua nikiwa kwenye daladala natumia jf kwa uwaz nikiwa kwenye starehe ndio usisem kuna siku niliona jamaa ananichora sana nilikuwa jf wala sikujali
Unauza Siri mkuu ..Mimi nondo nyingi Hadi za vita ya Urusi na Ukraine natoa humuHata mimi nipo huru..
Kuna baadhi ya mijadala humu nafatilia.
Napokua namuelekeza mtu yaani anaona me ni mfatiliaji sana kumbe code zote nachukua huku [emoji851][emoji851][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na uzuri wa humu watu wanajua mambo na wanayachambua vilivyo
Hapana mkuu sithubutu. Najuta hata Kwanini niliangalia kidogo. Hii movie na nyingine Time machine yani zinaogopesha sana ila kwenye time machine dah kuna mazombie yanatembeza mkong'oto mkali yani ngumi za kutoshaMkuu Tulia tena uicheki ni bonge la muvi haichoshi .
Atajua yy mm hakuna nacho hofia ila meeting na watu. NoIpo hivyo mkuu ukiwa JF mtu aone anakuzingatia sana .
Wee jichanganye usiombee...🤣🤣🤣🤣
Ngoja nitafute na hiyo ndio mambo yanguHapana mkuu sithubutu. Najuta hata Kwanini niliangalia kidogo. Hii movie na nyingine Time machine yani zinaogopesha sana ila kwenye time machine dah kuna mazombie yanatembeza mkong'oto mkali yani ngumi za kutosha
Sasa InjoyKwenye daladala hata mii nafanyaga hiyo..
Kukiwa kuna hot topic yaani siiachi..😂😂😂😂
ShiiiiiiiWee jichanganye usiombee...
Alafu ujui tuu.
Sheria za mitandao bado hazijawa completely clear.
Usijifiche na ID mazima ukasema uwe free kwa kila kitu 😂😂😂😂😂